Utakuwa mwehu
Lini nitakuwa nijipange kabisa??
Utakuwa mwehu
Chuki zenu tafuteni pakuzipeleka Shekhe Mwaipopo hajavunja Sheria
Badala yake alitoa mchango kuzuiya Wafanya fujo kawatisha wanaotaka kufanya fujo
Kwenu ni kosa kubwa lengo lenu nini kwa Taifa ???
Kumbe mlikuwa mnataka kukinukisha Upyaa
Ndiomana mnamwandama Shekhe Mwaipopo ‼️‼️
Mtu kama wewe, mwenye upeo finyu kabisa ndio umepewa kazi ya kuja JF kutetea maswala usiyoyajuwa kabisa; maswala ya ulinzi wa taifa?
Huyo Mwaipopo kapewa kazi na nani Jumanne Mulilo, au Kingazi?
Kuna sheria yoyote iliyokwishatungwa kuwepo kwa vikundi kama hivi?
Sasa badala ya kujificha kwenye mapango, mmeamua kabisa kuwa kweupe na kuwatisha waTanzania?
Huku kujipanga kwenu kila mahala na kuwatisha waTanzania unafikiri ndiko kutakakowasaidia kuendelea kuwasumbua watu?
Askari wenu mliyempachika darasani kwa huyo Profesa kafanya kazi yake vizuri; sasa ni wapi kwingine ambako mmetegeshea kuwanasa wengine.
Tunajuwa mmo humu JF, akina Makebo, wanatafuta watu wa kuwatisha, lakini mwisho wa siku hamtafanikiwa hata kidogo.
Mnafikiri mtafanikiwa?
Empty head kabisa eti ajavunja sheria, sheria unazijua ww au unaongea tu hapa?
Cybercrimes Act, 2015 – Kifungu cha 23 (Cyber bullying).
Kinakataza kutumia mfumo wa kompyuta kutuma mawasiliano kwa nia ya kulazimisha, kutisha, kunyanyasa au kusababisha msongo wa kihisia. Adhabu iliyowekwa ni faini isiyopungua Sh milioni 5, kifungo kisichopungua miaka 3, au vyote.
2. Penal Code, Cap. 16 – Kifungu cha 89B (Intimidation).
Kinahusu kumtisha mtu kinyume cha sheria kwa nia ya kumlazimisha kufanya au kuacha kufanya jambo ambalo ana haki ya kufanya/kuacha. Sheria inaeleza “intimidate” kuwa ni kusababisha hofu inayoweza kueleweka ya madhara kwa mtu, familia/dependants, mtu mwingine au mali. Adhabu inaweza kuwa kifungo cha mwaka mmoja
Hapa tu tayari ameshakuwa implicated, umeshaona nchi zingine zinazojitambua zinaruhusu huo ushenzi?
Hata kama una mahaba stick with facts
Ndugu zetu wa sisiemu wako radhi waje kuketa magaidi wa kweli ilimradi tu kuzuia watu wengine wasiongoze hata kama wanakubalika na wananchi nihatari sana kuchekea watu kama kina mwaipopo vyombo vya dola hata kukemea serikali hata kutoa ufafanuzi kua hawahusiki wala hawa support kukaa kimya maana yake wanafurahia au ni sehemu ya mipango yao imagine leo CDM au ACT ndio wangetangaza kua wana vikosi vyao hatari kukabiliana na watekaji? Polisi na serikali na kina Bakwata wangekaa kimya namna hii kama kwa Mwaipopo? Mwisho wa siku hii ni nchi yetu sote inapoharibiwa kwa namna yoyote madhara yake hayatabagua mtu wa sisiemu serikali Bakwata vyombo vya dola au mpinzani, tujifunze kuheshimiana na kukubali kua nyakati zinabadilika waswahili wanasema mdharau mwiba mguu huota tende haya ya kina mwaipopo sio yakuchekea hata kidogo kila anaelipenda hili Taifa anao wajibu kukemea kwa nguvu kubwaHabari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa kisheria nchini kwetu, hasa tukitazama matukio mawili yanayoacha maswali mengi mioyoni mwa Watanzania.
Katika siku za hivi karibuni, anga la kisiasa na kijamii nchini Tanzania limegubikwa na midahalo mizito inayohusu uhuru wa kutoa maoni, usalama wa taifa, na misingi ya utekelezaji wa sheria bila ubaguzi. Tunaona taswira ya mzani wa sheria ukielekea upande mmoja kwa namna inayotatanisha sana. Kwa upande mmoja, kuna mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Melkisedek Kaijage, anayekabiliwa na mashtaka mazito ya uhalifu wa kigaidi kufuatia maoni na uchambuzi wake wa kijamii. Kwa upande mwingine, yupo Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA), Sheikh Said Mwaipopo, ambaye amekuwa akitoa kauli kali zenye viashiria vya dhahiri vya vurugu na chuki za kidini, lakini ameendelea kubaki salama bila kuguswa na vyombo vya sheria.
View attachment 3651961
Kesi inayomkabili mhadhiri wa chuo kikuu, Dkt. Melkisedek Kaijage, imeshtua na kusikitisha wengi wetu. Wasomi na wahadhiri wanatambulika kama nguzo ya uchambuzi wa kimkakati na ukosoaji wa kitaaluma katika nchi yoyote inayofuata misingi ya kidemokrasia. Dkt. Kaijage amefunguliwa kesi ya ugaidi kwa kusema mambo ambayo sehemu kubwa ya jamii inajua yana ukweli na yanapaswa kufanyiwa kazi kwa ustawi wa taifa. Kitendo cha kugeuza ukosoaji na uchambuzi wa kielimu kuwa uhalifu wa kigaidi kinaleta hofu kubwa na kuminya uhuru wa fikra nchini.
Wakitazama msomi huyu wa kalamu akisota gerezani kwa mashtaka yasiyodhaminika, mambo yanakuwa tofauti kabisa kwa Sheikh Said Mwaipopo. Katika mikutano na matamko yake ya kila kukicha, kiongozi huyu amekuwa akitoa kauli ambazo kimsingi zina viashiria vikubwa na vya dhahiri vya uvunjifu wa amani kuliko hata makosa anayoshtakiwa nayo mhadhiri huyo wa UDOM. Sheikh Mwaipopo amekuwa akijitokeza hadharani na kutoa shutuma nzito zenye mwelekeo wa kupandikiza mbegu ya chuki za kidini nchini.
View attachment 3651964
Eneo linaloibua taharuki kubwa ni tuhuma zake za wazi dhidi ya Kanisa Katoliki. Sheikh Mwaipopo amekaririwa mara kadhaa akidai kuwa Wakatoliki wana mkakati wa makusudi wa kuhujumu jamii ya Waislamu nchini Tanzania. Tuhuma hizi hazina maslahi yoyote kwa utangamano wa kijamii bali zinalenga kuligawa taifa vipande vipande kwa misingi ya kiimani. Katika nchi ya kidemokrasia na ya kisekta kama Tanzania, kuruhusu mtu kuchochea uhasama wa kidini mchana kweupe ni kuchezea kiberiti karibu na pipa la mafuta.
Zaidi ya uchochezi wa kidini, Sheikh Mwaipopo amekwenda mbali zaidi kwa kutishia usalama wa raia kimwili. Amewahi kutangaza hadharani kuwepo au kuunda kikundi chake binafsi cha ulinzi anachokiita "kikosi cha mbwa mwitu" kwa ajili ya kushughulikia wale anaowaona kama maadui au wakosoaji. Sheria za Tanzania ziko wazi kabisa: umiliki, utengenezaji, au utishiaji wa kutumia vikosi vya kijeshi au vya kihalifu nje ya vyombo rasmi vya dola ni kosa la jinai na ni moja ya viashiria vikuu vinavyofafanua ugaidi wa ndani (domestic terrorism).
Kana kwamba hiyo haitoshi, kiongozi huyo ametoa kauli za kikatili akitishia "kutahiri watu bila ganzi" ikiwa ni ishara ya kutesa au kuumiza watu wanaotofautiana naye kimitazamo. Hili si tu kwamba ni tishio la ukatili wa kimwili, bali ni lugha inayolenga kusababisha hofu kubwa na taharuki katika jamii. Hivi ni viashiria vya wazi kabisa vya misimamo mikali yenye jeuri (violent extremism), ambayo sheria ya kuzuia ugaidi ya Tanzania ilitungwa mahususi ili kuidhibiti.
Hapa ndipo linapokuja swali la msingi linalopaswa kujibiwa na vyombo vyetu vya dola: Ni kwa namna gani uchambuzi wa msomi kama Dkt. Melkisedek Kaijage unakuwa uhalifu wa kigaidi, wakati mtu anayetishia kuunda vikosi visivyo rasmi, anayeshutumu madhehebu mengine ya dini kuwa yanahujumu wengine, na anayetishia kutesa raia anaachiwa huru akidunda mitaani? Unyamavu huu wa Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mbele ya Sheikh Mwaipopo unaacha mwanya wa hisia kuwa kuna mfumo wa ubaguzi katika uendeshaji wa sheria (selective justice).
Ubaguzi huu unajenga taswira hatari sana kuwa ukisimama upande unaounga mkono au kuitetea mamlaka iliyopo, unakuwa upo juu ya sheria na unaweza kusema lolote, hata kama ni la hatari kwa usalama wa taifa. Tabia hii inaharibu uaminifu wa taasisi zetu za usalama mbele ya macho ya wananchi wanaoona mzani wa haki ukipinda. Usalama wa kweli wa taifa letu hautopatikana kwa kuwanyamazisha wasomi wanaonyoosha vidole kwenye changamoto za nchi, bali utapatikana kwa kuwawajibisha wale wote wanaohubiri vurugu na chuki, bila kujali vyeo, dini, au mirengo yao ya kijamii.
MTAZAMO WANGU (MY TAKE):
Kwa jicho jepesi na la kiuchambuzi, unapomfuatilia kwa karibu Sheikh Mwaipopo na msururu wa kauli zake za kichochezi, unaweza kusamehewa kabisa kifikra ukitatizika na kuhisi kuwa huenda anatumwa au kulindwa na baadhi ya watu waliopo ndani ya vyombo vya dola au serikalini. Mazingira yanayomzunguka yanatengeneza dhana hiyo kwa sababu haiingii akilini kuona mamlaka ziko macho na weepesi kukamata wakosoaji wa kalamu, lakini zinakuwa "bubu na viziwi" mbele ya mtu anayehubiri hadharani uundaji wa vikosi haramu na vitisho vya ukatili wa kimwili. Kama dhana ya yeye kutumwa si sahihi, basi hitimisho lililobaki ni jepesi zaidi lakini lenye kuogopesha: kwamba kuna watu ndani ya mfumo wa serikali na vyombo vya usalama wanaofurahishwa, wanaonufaika, au kuliunga mkono jambo hili analolifanya na kulisema. Hali hii isipodhibitiwa, itakuwa imethibitisha kuwa sheria nchini kwetu ina macho ya ubaguzi, ikipiga weka upande mmoja na kulegeza kamba upande mwingine.
Nawasilisha, na ninaomba kusikia mitazamo yenu wakuu. Karibuni kwa mjadala.
Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),

Dr. Kaijage alikosea nini hadi awe gaidi?
Wewe Huna akili kabisa mwenzio kajadili hoja kwa kuweka vifungu vya sheria wewe unaongwa kwa mihemko ebu kama Huna cha kuchangia ni bora kuwa msomajiChuki zenu tafuteni pakuzipeleka Shekhe Mwaipopo hajavunja Sheria
Badala yake alitoa mchango kuzuiya Wafanya fujo kawatisha wanaotaka kufanya fujo
Kwenu ni kosa kubwa lengo lenu nini kwa Taifa ???
Kumbe mlikuwa mnataka kukinukisha Upyaa
Ndiomana mnamwandama Shekhe Mwaipopo ‼️‼️
Wewe Huna akili kabisa mwenzio kajadili hoja kwa kuweka vifungu vya sheria wewe unaongwa kwa mihemko ebu kama Huna cha kuchangia ni bora kuwa msomaji
wewe ni wa kupuuuuzwa kwa kweliIkiwa kwenu kosa ni kutishia kuuwa
Mwalifu
Kwenu ni kosa kutishia tu👈
tena mwenye kutishiwa kumbuka ni Mwalifu
Sio raia mwema ❌️
Kuandamana kinyume na Sheria wewe tayali ni Mwalifu
Kisheria 👈
Sasa Sheikh Mwaipopo katika majukumu yake ya kumtisha adui yake Mwalifu mlengwa wake katumia mbinu ya
kumtishia kifo 👈
Lengo kuu kumfanya asithubutu kutenda uharibifu uhalifu kwa faida ya wakazi wote wa jiji la Dar es Sallam
Kakosea wapi🫎🫎👈
Mfano mwengine kuna aya mapambano ya Ngumi tunaona kwenye Azam MEDIA Vitasa
Ktk wale wausika yani mabondia wakiojiwa kabla ya pambano na mpinzani wake maranyingi kila mmoja huonesha Ishara ya kukata shingo❗️❗️
Kwaiyo ili kisheria lipoje ????????
Ndio tuseme alitakiwa
kukamatwa!????
au lengo lake kuu kumtisha mlengwa wake yani
mpinzani wake✍️
Tatizo lenu kuu uwelewa na upotoshaji wenu
Na propaganda 👈
kiasi mnataka kuzitumia Sheria Kipropaganda pasi na ukweli👈
ktk
Msingi wa kisheria Kila ilipo neno katazo la Sheria
Lazima pia kuna miongozo ya kutenda jambo usika bila kuivunja iyo Sheria usika👈
Shekhe Mwaipopo kafuata talatibu zote za kisheria Ndiomana vyombo vyetu vya Usalama vinamwamini kama vilivo waamini wengine kwenye kampuni za ulinzi 👈
Na mshangao zaidi kufikia sasa hakuna jambo baya katenda kwa yoyote kiasi kulalamikia vyombo vyetu vya Usalama 👈
mnaogopa nini au
neno SHEIKHE ❗️✍️
wewe ni wa kupuuuuzwa kwa kweli
Misingi ya Sheria hamuelewi
Sasa mfano Shekhe Mwaipopo kasema nitawauwa Waandamanaji
Tuje Kisheria
Utaweza kumshtaki kwa
kosa gani kisheria
Uyo mwanandamanaji ni nani kiasi hawe na Haki ya kufungua Kesi Mahakamani ????
Mana hakutajwa mtu yoyote jina lake kamili 👈
au jinq la kikundi chochote chenye usajili kiasi kuwa na Haki ya kumshtaki ✍️
Uwelewa wenu Butu kuchanganyua mambo au kutambua makosa ya kisheria ✍️
Mnafananisha Kesi ya Kaijage
Na tuuma za ewani za Sheikh Mwaipopo 🫎🫎🫎🤠🤠🤠🤠🤠
Icho kichwa panzi unachokielewesha hata kiingereza kinajua sasaAn Open Letter to Mdogoee, the "Learned" Bush Lawyer
Let’s correct your severe misunderstanding of basic legal tenets before you continue misleading people with your "bush lawyer" theories.
Your entire argument rests on a massive fallacy: you claim that because Sheikh Mwaipopo did not name a specific individual or a legally registered group, no one has the right to take him to court, and therefore no crime was committed. This logic proves you are completely blind to the difference between Civil Law and Criminal Law.
Here is a free law lesson to upgrade your understanding:
1. Protesters Do Not Need "Locus Standi"—The Republic Does
You are asking, "Who is this protester with the legal right to open a case in court?"
In criminal law, individual victims do not sue the offender. The state does.
Under Tanzanian criminal jurisprudence, a threat to kill or incite violence is a crime against the public peace and the State (The Republic/Jamhuri). Any citizen can walk into a police station, file a complaint, and obtain an RB. From that point on, it is the Director of Public Prosecutions (DPP) who brings the case to court on behalf of the nation. The DPP does not need a "registered group" to defend public safety.
2. Criminal Incitement Does Not Require an ID Card
You claim no specific person was named. Go read Section 63B of the Tanzanian Penal Code (Sura ya 16).
The law explicitly states that it is a criminal offence to target a class of inhabitants. Let the literal statutory text educate you:
Section 63B(1) of the Penal Code [Cap. 16]:
"Any person who, to any assembly, makes any statement likely to raise discontent amongst any of the inhabitants of the United Republic or to promote feelings of ill-will between different classes or communities of persons of the United Republic, is guilty of an offence..."
"Waandamanaji" (protesters) form a distinct, identifiable class of people within society. Threatening to slaughter or mutilate people who are exercising their constitutional right to assemble directly promotes ill-will and violent friction between different classes or communities. The law protects societal groups from mass threats; it does not grant a free pass to an offender simply because they targeted a collective crowd instead of pointing at a specific individual national ID.
3. Section 89: Threatening Violence and Carrying Weapons
Since you love technicalities, let's look at Section 89 of the Penal Code regarding threats and intimidation.
The law is clear that using weapons, firearms, or aggressive language to threaten an assembly or cause public alarm is a serious crime:
Section 89(1) of the Penal Code [Cap. 16]:
"Any person who— (a) uses obscene, abusive or insulting language to any other person, in such a manner as is likely to cause a breach of the peace; or (b) brawls or behaves in an insulting or provocative manner... is guilty of a misdemeanour."
Section 89(2) of the Penal Code [Cap. 16]:
"Any person who with intent to intimidate or annoy any person, threatens to break or injure a dwelling-house... or threatens any injury to any person... is guilty of a misdemeanour and is liable to imprisonment for one year."
When a speaker openly declares an intent to deploy private armed forces ("Chui Weusi") or weapons against a group of people, they violate Section 89. The law does not require the offender to list the names of the victims they intend to intimidate or harm; the mere act of creating public terror and threatening injury to "any person" within that assembly satisfies the elements of the crime.
4. Protesting is a Protected Right Under Article 20
By attempting to legally disqualify protesters as "unnamed targets" who have no rights, you are entirely ignoring the supreme law of the land. Under the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977, peaceful assembly is not an act of crime or an unregistered vagrancy—it is a fundamental constitutional right.
Article 20(1) of the Constitution of Tanzania:
"Every person has a freedom to freely and peaceably assemble, associate and cooperate with other persons, and for that purpose, express views publicly and to establish and maintain with other persons, associations or organisations formed for the purposes of preserving or furthering his beliefs or interests or any other interests."
Because the right to peaceably assemble is legally protected by the Constitution, anyone threatening to violently disrupt, kill, or assault citizens exercising this right is waging an assault on the Constitution itself. Protesters do not need to be a corporate "registered group" to be protected under Article 20; every single citizen enjoys this freedom inherently.
5. Threatening Private Militia Violence is a National Security Issue
When someone publicly boasts about using an unregistered, private group to violently attack or kill citizens, they are committing a crime against national security. In Tanzania, the state holds a monopoly on the legal use of force. Threatening to unleash a private gang to mete out violence is illegal, regardless of who the intended targets are.
6. Your Flawed Comparison
You claim the Kaijage case and Mwaipopo's threats cannot be compared because of "unnamed targets."
You are confusing Defamation (where an individual or entity must be explicitly identified to sue for damages in Civil Court) with Incitement to Violence (which is a strict Criminal offence). Both the Kaijage matter and Mwaipopo’s rhetoric cross into the territory of public order and state security.
The Verdict:
Stop hiding behind pseudo-legal technicalities. A threat to human life and public peace cannot be hand-waved away just because the speaker threatened a collective group rather than naming someone's specific national ID. You are arguing civil law technicalities in a strictly criminal matter—a classic rookie mistake for a bush lawyer.
NB: Please understand that this comprehensive breakdown was not compiled for your personal validation, but rather as a public service to protect the innocent from being misled by your flawed legal theories. It is clear that your judgment is completely blinded by sycophancy, to the point where only divine intervention might rescue you from your profound ignorance of the law.
Do have a wonderful day ahead, and happy reading.
Wakimjulisha TAL kwenye hiyo kesi tutajua mengi sana!Tuiyache Mahakama yenyewe ndio itajua kama kweli kavunja Sheria au laah
Kaijage ni Binadamu kama wewe
Huwezi sema ni mtakatifu kivitendo
Lkn yupo kwenye mikono ya Sheria ule uwanja ni mzuri tutajua kila kitu
Imekuwaje ktk Ma Lecturers zaidi ya 3000+ iwe yeye tu wamsombe Lupango
Tuvute subira tutajua ABC zake✍️
Hakuna hata moja linaloifanyia kazi serikali haramu.Nikuulize upepeo wako wewe unajua jiji la Dar es Sallam lina makampuni mangapi ya ulinzi
Ambayo yapo kufanya kazi za ulinzi kwenye jiji la letu ??✍️
Kuna mambo unashindwa kumuelewa mtu kama kweli Yuko timamu!Mkuu mdogoee, nimesoma mchango wako na kwa kweli inasikitisha kuona jinsi unavyojitahidi kusafisha mambo ya hatari kiasi hiki. Ni dhahiri kuwa mtazamo wako umebanywa na mchanganyiko hatari wa udini na uchawa kwa serikali, kiasi kwamba umeshindwa kuona picha kubwa. Wakati wewe ukihangaika kutetea itikadi ya kidini na kujipendekeza kwa mfumo uliopo, wengine hapa tupo kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu, amani ya kizazi hiki na vizazi vyajavyo bila kujali itikadi za mtu.
Hata hivyo, ili kukutoa kwenye hila hizo na kukurudisha kwenye mstari wa hoja, nakubaliana na wewe kwa 100% katika jambo moja tu: "Kuwa Msomi au Lecturer sio kinga ya makosa." Sheria haina macho na kila anayevunja sheria anapaswa kuwajibishwa, awe mhadhiri au kiongozi wa dini. Hakuna aliye juu ya sheria.
Lakini kabla hatujaenda mbali, naomba utufafanulie jambo hili hapa jukwaani: Ni kipengele gani hasa cha sheria au kigezo gani unachokijua wewe ambacho huyu Mhadhiri amekiuka hadi unadhani anastahili kuitwa na kushtakiwa kama Gaidi, wakati huyo Sheikh wako anayetambulisha hadharani kikundi kisicho rasmi cha ulinzi (militia)—ambacho kimsingi ni sifa kuu ya vikundi vya kigaidi—yeye unamwona siyo gaidi bali mlinzi wa amani? Huu uratibu wako wa kisheria unaongozwa na kanuni gani kama si upofu wa kiitikadi?
Kisheria, Sheikh Mwaipopo anavuka mstari mwekundu katika maeneo makuu matatu:
Mkuu wangu, acheni kuweka mbele maslahi ya kidini na kulinda vyeo vya serikalini kwa kusujudu. Swali la msingi hapa ni je: Mzani wa sheria unalenga nini? Mbona maoni ya kalamu ya mhadhiri yanatafsiriwa kwa haraka kama uhalifu wa kigaidi, lakini matamko ya wazi yanayotishia usalama wa kimwili na kutumia vikosi haramu yanatazamwa kama "msada wa kuzuia fujo"?
- Utawala wa Sheria vs. Sheria Mkononi (Vigilantism): Kuzuia fujo au kulinda amani ni jukumu la kisheria na la kikatiba la Jeshi la Polisi na vyombo vya usalama pekee (Ibara ya 147 ya Katiba). Raia au kiongozi wa dini haruhusiwi kutishia kuunda au kutumia kikosi chake binafsi (kama alivyotaja "kikosi cha mbwa mwitu") ili "kushughulikia" watu. Tukiruhusu kila mtu au kikundi kuunda kikosi chake kwa kisingizio cha "kulinda amani," nchi itageuka kuwa ya vurugu (lawlessness).
- Tafsiri ya Makosa ya Jinai: Chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura ya 16, Kifungu cha 47 & 48) na Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya Mwaka 2002, kosa la jinai halianzi pale tu damu inapomwagika au mtu anapouawa. Kutoa matamko ya vitisho vya ukatili wa kimwili (kama kutishia kutesa au "kutahiri watu bila ganzi") na kutishia kutumia nguvu nje ya vyombo vya dola ni makosa kamili ya jinai (Inchoate offences / Terrorist threats) yanayolenga kuingiza hofu katika jamii.
- Uchochezi wa Chuki za Kidini: Kudai hadharani kuwa dhehebu jingine la dini (kama Kanisa Katoliki) lina mkakati wa makusudi wa kuhujumu dini nyingine, si njia ya kuzuia mgogoro, bali ni kupandikiza mbegu ya uhasama ambayo ni hatari kwa utangamano wa kitaifa.
Amani ya kweli haitafutwi kwa vitisho vya raia kujichukulia sheria mkononi wala kwa uchawa wa kusifu kila jambo, bali kwa kuheshimu mifumo rasmi vya dola na kutetea haki sawa kwa kila raia. Funguka hapa utupe hivyo vigezo vyako mkuu!
Uelewa wako kwenye issue ya sheria ni mdogo sanaSHEIKH Mwaipopo sioni kosa lake
Yeye kaongea kwamaana ya kuzuiya Fujo kuokoa Damu za watu zisimwagike na kufikia sasa hakuna mtu yoyote kaguswa popote na SHEIKH Mwaipopo 👈
Kuna tofauti kati ya mwelekeo wa SHEIKH Mwaipopo kutenda kinyume
Na uyo Kaijage
Kuwa Msomi au Lecturer sio Kinga ya makosa 👈
ukibaka utafungwa ukifanya kosa lolote bado mkondo wake Sheria utakuandama 👈
Niwaulize SHEIKH Mwaipopo kufikia
Sasa kafanya kosa gani
kisheria????
Badala yake kasaidia kuzuiya mgogoro👈
kama ilivyo kwa Vyombo vya Usalama 👈
Hii nchi miaka miwili ijayo itakuwa shithole