Mzani wa ubaya ndani ya CHADEMA umeelemea upande wa Lissu!

Ndugu yangu, hivi unaujua mfumo wa serikali unavyofanya kazi? Abdul na pesa za matibabu ya Lissu wapi na wapi? Naona mnazidi kupotea njia na kuchafua chama.

Ova
 
ELIMU ya kikasuku ndio hii umeitoa.

Kama hujui kuwa kulingana na Katiba yetu Rais ni Nani basi unasafari ndefu.
Rais ni Mtoa HAKI
Rais yupo juu ya sheria.
Rais kwa Katiba yetu ni MUNGU.

ELIMU yako ya kukariri bado haijatambua hili?
 
Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke.
Sio kweli.... huyo Abdul ni nani mpaka aweze kufanikisha hilo?.

Hizo ni pesa za rushwa tu
 
ELIMU ya kikasuku ndio hii umeitoa.

Kama hujui kuwa kulingana na Katiba yetu Rais ni Nani basi unasafari ndefu.
Rais ni Mtoa HAKI
Rais yupo juu ya sheria.
Rais kwa Katiba yetu ni MUNGU.

ELIMU yako ya kukariri bado haijatambua hili?
Baki na ujinga wako.
 
Basi Abdul yuko karibu zaidi na mungu ndio maana wenje aliona aitumie hiyo fursa.
 
Basi Abdul yuko karibu zaidi na mungu ndio maana wenje aliona aitumie hiyo fursa.

Ndio inaitwa Rushwa Sasa.
Kwenye mfumo wa Katiba inayomtambua Rais kama mungu nafasi ya Abdul haipo.

Baada ya huu uchaguzi nafikiri humu vile watu walivyokuwa wanakufikiria watabadili mtazamo.
 
Huyu jamaa anajaribu kuhalalisha zile rushwa za Abdul zionekane ni pesa halali za kumlipa Lissu gharama za matibabu.

Kwa hapo ametukosa...
 
Ndio inaitwa Rushwa Sasa.
Kwenye mfumo wa Katiba inayomtambua Rais kama mungu nafasi ya Abdul haipo.

Baada ya huu uchaguzi nafikiri humu vile watu walivyokuwa wanakufikiria watabadili mtazamo.
Kumfuata Rais kibinafsi na kumuomba aende kinyume na maamuzi ya bunge kwa kutoa pesa ambazo bunge limeshaamua hudai chochote ni rushwa pia.
 
Kumfuata Rais kibinafsi na kumuomba aende kinyume na maamuzi ya bunge kwa kutoa pesa ambazo bunge limeshaamua hudai chochote ni rushwa pia.
Una uhakika kuwa Lissu alimfuata Rais Ubelgiji?
 
Kwamba serekali inafuata sheria sana hadi ushangae wasio serekali kuweza kupata kitu kinyume na sheria?
 
Chawa unahangaika kama kuku anayetaka kutaga siyo manyuzi haya unayoshusha kila sekunde. Na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…