Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Ndugu yangu, hivi unaujua mfumo wa serikali unavyofanya kazi? Abdul na pesa za matibabu ya Lissu wapi na wapi? Naona mnazidi kupotea njia na kuchafua chama.Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke.
Lissu alishapoteza imani na Mbowe muda mrefu akawa anajaribu kutengeneza mtandao wake dhidi ya Mbowe lakini haukufanikiwa sana, alijaribu kusingizia amehongwa magari na serikali.
Lissu akiwa makamu mwenyekiti alianza kubagua viongozi wa chama chake na kukigawa chama, alimpigia kampeni Msigwa dhidi ya Sugu na akajaribu bila mafanikio kutaka kumpigia kampeni Wenje dhidi ya wagombea wengine.
Lissu hajawahi kutoa kauli yoyote hasi dhidi ya Msigwa au kumtetea Mbowe kwa lolote pamoja na kashfa zote ambazo Msigwa amekuwa akimtolea Mbowe, hii sio kawaida.
Lissu alikuwa amepewa kwenye majukumu yake ya makamu mwenyekiti lakini pia amekuwa akijifanyia mambo ya ki chama kama mtu binafsi, yeye anavyoona inafaa tu bila kuzingatia mawazo ya wengine, maazimio, umoja na misimamo ya chama.
Ova