DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu nakutakia sabato njemaChawa unahangaika kama kuku anayetaka kutaga siyo manyuzi haya unayoshusha kila sekunde. Na bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakutakia sabato njemaChawa unahangaika kama kuku anayetaka kutaga siyo manyuzi haya unayoshusha kila sekunde. Na bado.
Dolari la Abdul zimempalia anakohoa hadi anajamba.Yoda hapa kajivua nguo.
Bado underwear ndio anataka kuimalizia tuone tupu zake
Hata mimi ananizidi kilaza Lisu?Lisu aliona ndani ya CDM hakuna tena anayeaminika
Sasa ameamua kusimama pekee yake na anakwenda kushinda
Naimani Lisu ni mmoja ya watu wanaojua mengi sana ya nchi hii kuliko yoyote ...
Mkuu, CHADEMA wamejitanabahisha kama chama chenye msimamo mkali dhidi ya ufisadi na kukosekana kwa maadili ndani ya serikali na makada wake kama Lissu, Wenje, Lema na wengineo wakiwa firebrands (vichomi) kabisa katika kupambana na serikali kuhusu tuhuma mbalimbali za kifisadi.Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke.
Lissu alishapoteza imani na Mbowe muda mrefu akawa anajaribu kutengeneza mtandao wake dhidi ya Mbowe lakini haukufanikiwa sana, alijaribu kusingizia amehongwa magari na serikali.
Lissu akiwa makamu mwenyekiti alianza kubagua viongozi wa chama chake na kukigawa chama, alimpigia kampeni Msigwa dhidi ya Sugu na akajaribu bila mafanikio kutaka kumpigia kampeni Wenje dhidi ya wagombea wengine.
Lissu hajawahi kutoa kauli yoyote hasi dhidi ya Msigwa au kumtetea Mbowe kwa lolote pamoja na kashfa zote ambazo Msigwa amekuwa akimtolea Mbowe, hii sio kawaida.
Lissu alikuwa amepewa kwenye majukumu yake ya makamu mwenyekiti lakini pia amekuwa akijifanyia mambo ya ki chama kama mtu binafsi, yeye anavyoona inafaa tu bila kuzingatia mawazo ya wengine, maazimio, umoja na misimamo ya chama.
Ni kweli lakini hiyo haimaniishi kuwa njia za kona kupata kitu serekalini hazipo.Sipo hapa kushangaa Mkuu.
Serikali ipo kihalali kwa sababu ya Sheria.
Mkuu kwanza nakubali kitendo kilichoelezewa na wenje hakina picha nzuri sana kwa jamii inayolilia usawa, ilitakiwa upatikanaji wa haki usiwe kwa kujuana na kona kona nyingi hivi(hata hivyo uhalisia ni kwamba tuko mbali sana na mfumo huo wa kupata haki/stahiki). Jambo ambalo mimi haliniingii akilini huu ulikuwa ni ufisadi au hongo ya kimfumo ndani ya CHADEMA.Mkuu, CHADEMA wamejitanabahisha kama chama chenye msimamo mkali dhidi ya ufisadi na kukosekana kwa maadili ndani ya serikali na makada wake kama Lissu, Wenje, Lema na wengineo wakiwa firebrands (vichomi) kabisa katika kupambana na serikali kuhusu tuhuma mbalimbali za kifisadi.
Kwa mazingira hayo, kitendo cha kada muhimu Wenje kuwa na "dili" na huyo Abduli bila kuchukuliwa hatua yoyote tena akikubaliwa kugombea umakamu mwenyekiti wa chama, ni kielelezo tosha kuwa kutakuwa na MATATIZO MAKUBWA SANA ndani ya CHADEMA. Kama Wenje ni "mtu wa Mbowe" huu ni msiba.
Nashindwa kupata picha. Wenje aliwezaje kumfuata Abduli na kisha kumpeleka kwa Lissu eti "amsaidie" kupata malipo yake (ya halali) serikalini?!! Alitoa wapi huo ujasiri? Lissu ninayemfahamu ni bora azikose hizo hela kuliko kuweka dili na mafisadi wanaohujumu taifa wakati huu. Mtikila alipokea hela za Rostam na kufifia. Sioni Lissu akiruhusu hali hiyo.
Mkuu, kwa andiko lako hili umeshusha hadhi uongozi mzima wa CHADEMA!
Unakubali tukubaliane kuwa CHADEMA si chama makini cha upinzania tena bali A BIG POLITICAL HOAX?
Kwa mahakama zetu hizi ambazo kila wakati zinakuwa remoted by ule mhimili uliojichimbia chini zaidi sijui kama angeweza kupata haki yake.Wewe ndiye hujui, kisheria Rais sio mgawa haki nchi hii wala hatakiwi kushawishi maamuzi fulani ya utoaji haki yafanyike kwa sababu eti yeye ni Rais. Mahakama ndio chombo cha mwisho cha utoaji haki, kama Lissu alinyimwa pesa zake na bunge au na serikali angeenda Mahakamani na uamuzi wa mahakama ndio ulipaswa kuwa final.
Ni mfumo dhaifu tu wa haki ndio unaotoa mwanya wa wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri na Rais kufanya maamuzi ya kugawa haki mfano katika kesi za ardhi, kodi, mirathi n.k ila sio utaratibu sahihi wala sheria