Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Uache ujinga hata Wakristo watoto wanapelejwa sunday school, kusoma kipaimara, ubarikio na sijui komunyio nk
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.


Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .


Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.


Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.


Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.


View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Bakora ulizopigwa utotoni ziliathiri mpaka ubongo wako. Peleka wako huko wakung'utwe na hata huko nyumbani wapige lakini koma kulilia watoto wa wenzako wapigwe.
 
Kipindi hiko advance nlizinguaga shule nkawa suspended mzee kuninyoosha akanipeleka shule Moja hivi ya kiislamu, huko kulikua na sheria kali kinoma afu msos tukawa hatushibi...siku Moja night wanafunzi wakiwa tarawheeeh jamaangu aliingia jikoni anakula ukoko alipigwa Kofi na hayo majini alikata kauli siku mbili😂ndo nkajua Kuna muda hayo madude yapo
Ulienda academy yanakofugwa Kaka.
 
Akili kubwa mno umeimwaga humu.....

Lakini na walimu nao wawe na kiasi katika mambo yao....

Somo la saikolojia liendelee kutiliwa mkazo huko wanakofundishwa walimu wa madrassah.....
Akili kubwa ya watu walioathirika na bakora za utotoni. Wanataka kila mtoto apigwe kama wao walivyopigwa. Wengine tulibahatika kukua kwenye familia za kistaarabu na hatukuwahi kuchapwa na bado shuleni tuli pass vizuri, mtaani nako tuna tabia nzuri za kuigwa.
 
Sijui kwanini wenye access control nayo hawayatumii kwenye positive issues mfano kuiba mitihani, kuchomoa pesa BoT au kuyatumia kuanticipate yajayo
Yanayokaa maeneo ya pesa, Migodini sio haya wanayokuwaga nayo Yale ni baab kubwa.
 
Yanayokaa maeneo ya pesa, Migodini sio haya wanayokuwaga nayo Yale ni baab kubwa.
Kama una mwanao huko migodini muulize jini lake linasemaje game ya Leo, hapa naenda kucheki game sijui Madrid yangu watanitetea
 
Back
Top Bottom