Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Uache ujinga hata Wakristo watoto wanapelejwa sunday school, kusoma kipaimara, ubarikio na sijui komunyio nk
 
Bakora ulizopigwa utotoni ziliathiri mpaka ubongo wako. Peleka wako huko wakung'utwe na hata huko nyumbani wapige lakini koma kulilia watoto wa wenzako wapigwe.
 
Ulienda academy yanakofugwa Kaka.
 
Akili kubwa mno umeimwaga humu.....

Lakini na walimu nao wawe na kiasi katika mambo yao....

Somo la saikolojia liendelee kutiliwa mkazo huko wanakofundishwa walimu wa madrassah.....
Akili kubwa ya watu walioathirika na bakora za utotoni. Wanataka kila mtoto apigwe kama wao walivyopigwa. Wengine tulibahatika kukua kwenye familia za kistaarabu na hatukuwahi kuchapwa na bado shuleni tuli pass vizuri, mtaani nako tuna tabia nzuri za kuigwa.
 
Sijui kwanini wenye access control nayo hawayatumii kwenye positive issues mfano kuiba mitihani, kuchomoa pesa BoT au kuyatumia kuanticipate yajayo
Yanayokaa maeneo ya pesa, Migodini sio haya wanayokuwaga nayo Yale ni baab kubwa.
 
Yanayokaa maeneo ya pesa, Migodini sio haya wanayokuwaga nayo Yale ni baab kubwa.
Kama una mwanao huko migodini muulize jini lake linasemaje game ya Leo, hapa naenda kucheki game sijui Madrid yangu watanitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…