Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

kwamba fimbo ndo njia sahihi ya mtu kuelewa , hv huyu mtoto akikua akabadii dini anakua kakosea maana hamumshawishi mtoto kupenda maandiko bali mnamlazimisha kukariri mafunzo yenu
 
Bolded ni heading tu. Ila aya yenyewe iliyopo kwenye quran zote za kiswahili ni hiyo ya chini ambayo haijawa bolded.

Fungua quran yako ya kiswahili kisha linganisha uone ukweli wangu
Acha ubishi bolded ndio tafsiri ya aya yenyewe kama unabisha chukua hayo maneno ya kiarabu ukatafute tafsiri yake kokote unakokuamini
Hapo hakuna neno linalomaanisha "yenu"
 
tuseme juzu imeandikwa kwa kimakonde , mtu akiamua kuwa mtumwa hata umuamshaje haez kubali
Sijazungumzia lugha iliyotumika nazungumzia kilichoandikwa ndani,ni kwa ajili ya viumbe wote na si waarabu tupu
 
Kwa walio soma positive and negative punishment hawawezi kumlaumu Mwalim wa madrasa watoto wasikuhizi bila viboko hawaelewi wala hawatafuata maadili mazuri
Uzungu unaharibu mindset za wazazi na hao wanaojiona wamepevuka ktk malezi ya watoto
 
kwamba mwaka 1800 mlikuwa mnavaa hizo suruali na kamatia chini ?
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Huyo mtoa mada mwenyewe kasoma madrasa na labda alifugwa huko.
Usikute mtoto kupigwa huyo shekhe alitaka kumtafuna tako mtoto kakataa kashushiwa fimbo.
Mtoa mada alikubali akaliwa tope na ustaadh bangungu.
 
Ndio maana hayo matoto hua yanakuja kua na roho mbaya yana fundishwa dini kikatili sana hao ma ustadhi wanapiga fimbo kama wana ugomvi nao
 
Kuna tamaduni inferior na superior kuliko nyingine.
 
Hii mada humu sipo mahala pake, Jamii forums inawatu ambao uwezo wao wakufikiri ni mdogo sana, naona wengine wanaleta habari za SirJeff, mwingine anasema hao watoto wanasoma waarabu, wengine wanasema dunia ni yasayansi mtu asiendi madrasa.

Watu wa aina hii kwa dunia ya AI watakuwa miongoni mwa wale ambao AI ita wa replace sababu ni useless.

Mawazo yangu juu ya mada ni haya.
Sio rahisi mzazi kumpeleka mahakamani mwalimu aliemwamini na kumkabidhi mtoto wake amfundishe.

Inabidi kwanza tufahamu historia fupi ya
Mwalimu na mzazi huyo ikiwa pamoja na mahusiano yao, hapa itafahamika kama kunakitu nyuma ya pazia.

Kama hakuna jambo la tofauti linalochochea hili, tuchuje namna mwalimu anavyoishi na watoto madrasa, hapa tutafahamu vizuri tatizo na iligundulika nwalimu anaishi vzr na watoto. Hata hisia za mzazi nazo ziskilizwe.
Mzazi akipewa uhuru wakuskilizwa tutajuwa km walikosana kauli zikamsarisha au hakupenda adhabu ya vibiko.
Km hakupenda adhabu ya viboko, tutarejea vigezo na masharti walivyotoa walimu hao kwa mzazi anaepeleka mtoto avifuate.
Km hkuna documents maalum itakuw ni taasis inaendeshwa kihuni sxa ambapo itsbidi busara za waendesha kesi zitumike.

Kwakumalizia nikwamba sheria ya adhabu ya viboko ipo nchini na mashuleni nikama urithi kutoka kwa Mjeruman na mwingereza tulioachiwa, mpk sxa tunaitumia richa yakupunguzwa makali kwa kulimit fimbo zisizidi nne
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Ficha upumbavu wako.
Hamia Ulaya.
 
Nchi 22 za kiarabu ,masuala ya waarabu wa nchi gani
Oman marufuku kumpiga mwanafunzi school
For your information also we have tecnology and science in our schools ,colleges and higher education universities
Vilaza nyie na kobazi zenu mna teknolojia ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…