tuseme juzu imeandikwa kwa kimakonde , mtu akiamua kuwa mtumwa hata umuamshaje haez kubaliNani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuseme juzu imeandikwa kwa kimakonde , mtu akiamua kuwa mtumwa hata umuamshaje haez kubaliNani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu
kwamba fimbo ndo njia sahihi ya mtu kuelewa , hv huyu mtoto akikua akabadii dini anakua kakosea maana hamumshawishi mtoto kupenda maandiko bali mnamlazimisha kukariri mafunzo yenuSiafikiani na aina ya uchapaji ya ustaadh lakini kufikia kiasi cha kumshtaki mwalimu, it's a bit extreme.
Muundo hasa wa madrasa kwa sisi tuliosoma enzi hizo ilikuwa unaendeshwa kwa fimbo na mzazi anatoa encouragement kabisa kwa mwalimu akudunde ili uelewe.
Acha ubishi bolded ndio tafsiri ya aya yenyewe kama unabisha chukua hayo maneno ya kiarabu ukatafute tafsiri yake kokote unakokuaminiBolded ni heading tu. Ila aya yenyewe iliyopo kwenye quran zote za kiswahili ni hiyo ya chini ambayo haijawa bolded.
Fungua quran yako ya kiswahili kisha linganisha uone ukweli wangu
Sijazungumzia lugha iliyotumika nazungumzia kilichoandikwa ndani,ni kwa ajili ya viumbe wote na si waarabu tuputuseme juzu imeandikwa kwa kimakonde , mtu akiamua kuwa mtumwa hata umuamshaje haez kubali
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
kwamba mwaka 1800 mlikuwa mnavaa hizo suruali na kamatia chini ?ngoja nikuambie
ULAYA
ASIA
AMERICA
AUSTARIA
AFRICA
kila bara lina tamaduni zake
na katika hayo mabara kila nchi ina TAMADUNI zake
ni UJINGA na UKOSEFU wa akili kulinganisha TAMADUNI za ULAYA NA AFRICA au TANZANIA
labda nikuulize
wewe hapo unaweza kwenda beach
ikawa wewe dadaako mamaako babaako na baba mkwewako mkewako/mmewako na watoto wako mkbaki na chupi babaakwe boxer mkawa mnaogelea linawezekana kwako
bila shaka haiwezekani sio kwako ni kwa karibu 98% ya watanzania haiwezekani kutokana na TAMADUNI zetu
lakini kwa ULAYA 100% Inawezekana kutokana na tamaduni zao
hvyo TAMBUA tamaduni za eneo husika na kuziheshimu
mfano CHINA kuna majinbo mtu akipata AJARI na chombo cha moto barabarani huruhusiwi kumsaidia chochote unachotakiwa upige simu mamlaka waje kumsaidia hata km yupo kattika state ya kufa
lakini kwa watanzania hilo haliwezekani 7bu tumeritji tamaduni za kusaidiana kutoka kwa wazazi ndio mana unapoona kumetokea ajari watu wanakuwa faster kusaidia
Huyo mtoa mada mwenyewe kasoma madrasa na labda alifugwa huko.Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Aah 🤣kwahyo bwana makobazi akaona "ilimu" haimuingii mtoto vizuri akaamua kutumia mkwajuMambo ya Ilimu dunia
Zingatia neno kwa wahindi na waarabu mkuu tena wa hawa wa kariakoo.Kwa hiyo wasichana wengi wa kazi kutoka Iringa ni waislamu ?!!
Asante kwa elimu hiyo mkuu !
Kuna tamaduni inferior na superior kuliko nyingine.ngoja nikuambie
ULAYA
ASIA
AMERICA
AUSTARIA
AFRICA
kila bara lina tamaduni zake
na katika hayo mabara kila nchi ina TAMADUNI zake
ni UJINGA na UKOSEFU wa akili kulinganisha TAMADUNI za ULAYA NA AFRICA au TANZANIA
labda nikuulize
wewe hapo unaweza kwenda beach
ikawa wewe dadaako mamaako babaako na baba mkwewako mkewako/mmewako na watoto wako mkbaki na chupi babaakwe boxer mkawa mnaogelea linawezekana kwako
bila shaka haiwezekani sio kwako ni kwa karibu 98% ya watanzania haiwezekani kutokana na TAMADUNI zetu
lakini kwa ULAYA 100% Inawezekana kutokana na tamaduni zao
hvyo TAMBUA tamaduni za eneo husika na kuziheshimu
mfano CHINA kuna majinbo mtu akipata AJARI na chombo cha moto barabarani huruhusiwi kumsaidia chochote unachotakiwa upige simu mamlaka waje kumsaidia hata km yupo kattika state ya kufa
lakini kwa watanzania hilo haliwezekani 7bu tumeritji tamaduni za kusaidiana kutoka kwa wazazi ndio mana unapoona kumetokea ajari watu wanakuwa faster kusaidia
Ndugu zangu katika imaani ilimu ni kitu cha msingi sana.Aah 🤣kwahyo bwana makobazi akaona "ilimu" haimuingii mtoto vizuri akaamua kutumia mkwaju
Wapuuziwanafundiha Karate,kuvaa kobazi,kuvaa sufuria vichwani na kuvaa vpande vya suruali .
Mnafiki weww 😂Mambo ya Ilimu dunia
Ficha upumbavu wako.Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Hamia Ulaya.Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Vilaza nyie na kobazi zenu mna teknolojia ipiNchi 22 za kiarabu ,masuala ya waarabu wa nchi gani
Oman marufuku kumpiga mwanafunzi school
For your information also we have tecnology and science in our schools ,colleges and higher education universities
Huko ulaya kwenyewe mitoto mijeuri...kisa wanalindwa na sheria zao mitoto huko inajibizana na wazaz na mzaz ukimuadhibu mtoto, shuguli unayoFicha upumbavu wako.
Hamia Ulaya.