Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Nyie walimu wa madrasa mnatuchanganya haswa…huku mashuleni hadi tunakunywa panadol kwa usumbufu wenu…vitoto tunafundisha kuandika toka kushoto kwenda kulia ninyi mnavifanyia kinyume chake…uzwazwa huo..na viboko mnavichapa…wehu ninyi
 
Hayo ni mambo ya Waislam wacha wayamalize wenyewe kwa mujibu wa kitabu chao hata wakitaka kuuana wacha wauane tu.
 
Dunia imebadirika sana, Bakwata na taasisi nyingine za kidini zinapaswa sasa nje ya Elimu ya dini waanze kutoa semina na Elimu kwa walimu wa madrasa ya namna ya kuwatreat watoto wadogo kwenye hizi madrasa.

Walimu wa madrasa wanahitaji Elimu ya saikolojia na technic za kufundisha watoto Elimu ya dini, wengi ni wahitimu tu wa Elimu ya dini ila sidhani kama wana utalaamu wa kufundisha watoto wadogo.
 
Ilmu Dunyaaaa Allah hawafanyi wepesi kuhiiiifafh Quran tukufu mpaka viboko vya shaitwaaaan vitume?
That's the helluva disappointment.
 
Si ndio wanawaweka mujini? Wakikata misaada mnakufa njaa. Na ndio waliowatawala. Ulaya ndio wanawalisha na kuwavisha. Bila misaada yao mnakufa njaa nyie watu. Tena unyamaze wasikusikie.
Maybe..............................
 
Ulipaswa uishie hapa "maana mahakama ndo chombo chakutafsiri sheria za nchi". maneno yanayofuata baada ya hapo yana specify eneo lako la upendeleo.

Historia ya Taifa letu inataka kufanana kabisa na historia ya Taifa la Marekani, lakini kwanini hatuna watu ma genius kama watu wa Marekani, Mimi natamani siku moja tuwe Taifa la watu amabo, mtu akicomment kitu kwenye hoja ya Kidini, Kisiasa au Kikabila, basi ichukuwe zaidi ya miaka kumi mtu kuelewa area of interest ya mtu aliecomment.
 
Kwahiyo wewe ni muoman au mtanzania/mmatumbi mwenye asili ya oman au mtanzania aishie oman
Nataka nijue kitu kabla sijaendelea
In oman we do-not segregate
We all omanis and proud for our nation
Your mind set is people who are frozen in time
 

corporal punishment ni adhabu ya kijima sana, kama mnaitetea, basi mpambane ibaki hukohuko madrasa
 
Sahihi kabisa
 
Mtoa mada uko very primitive. Tokea lini fimbo ikawa dawa ya kutenda makosa? Si wafrika wote wangekuwa wamenyooka? Binafsi walimu wanafundisha watoto wangu wanajua. Ukimchapa tu mwanangu, unalo.
 
Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufia
Mitoto yenyewe ukisema uwalimishe au wachimba kashimo wanaweza kuzimia
Mitoto ya kizaz hiki ni kuiacha tu

Ova
Wakiiacha hiyo mitoto watapata wapi waumini?

Dini yao inategemea kulazimisha watu kwa nguvu.

Wakisema kwamba uislamu ni hiari, watabaki wachache sana.
 

Hivi walimu wa madrasa wanasome wapi? Wana qualifications gani?
 
Naona wazaz humu hawataki watoto wao wapewe adhabu wala kuguswa

Ova
Ndo haohao baadae wanalalamika kina Mwigulu kurithisha watoto wao uongozi. Siku hizi matajiri wakubwa na viongozi wamekuwa wajanja kulea watoto wao. Mambo ya tuition masaa 24 hakuna kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…