Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawafundishi mambo ya nchi yoyote bali dini ya kiislam
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Suti zilianzishwa na wazungu ila leo hii mimi mnyakyusa ninazivaa na siwi MZUNGU......
Kwani biblia kwa mara ya kwanza iliandikwa kwa lugha ya nchi ganiKwa lugha ya inchi gani?
Maybe..............................Si ndio wanawaweka mujini? Wakikata misaada mnakufa njaa. Na ndio waliowatawala. Ulaya ndio wanawalisha na kuwavisha. Bila misaada yao mnakufa njaa nyie watu. Tena unyamaze wasikusikie.
Ulipaswa uishie hapa "maana mahakama ndo chombo chakutafsiri sheria za nchi". maneno yanayofuata baada ya hapo yana specify eneo lako la upendeleo.Kabla ya kumuona mzazi kakosea ungeanza kwanza kutuambia sheria ya nchi inayompa mamlaka mwalimu wa dini kumchapa mwanafunzi wake.Tofauti na hapo mzazi yuko sahihi maana mahakama ndo chombo chakutafsiri sheria za nchi.Usite mihemko kwenye maisha ya watoto wawatu.
In oman we do-not segregateKwahiyo wewe ni muoman au mtanzania/mmatumbi mwenye asili ya oman au mtanzania aishie oman
Nataka nijue kitu kabla sijaendelea
YepiSi nakuona mnafik katika majukum yako
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Malengo ya dini yanayokusudiwa kufikiwa na yapi?General knowledge ukimaanisha wapigwe brash😀😀😀
Malengo ya dini yatafikiwa lini ikiwa kila mtu anakuwa yupo shalow.
Sahihi kabisaDunia imebadirika sana, Bakwata na taasisi nyingine za kidini zinapaswa sasa nje ya Elimu ya dini waanze kutoa semina na Elimu kwa walimu wa madrasa ya namna ya kuwatreat watoto wadogo kwenye hizi madrasa.
Walimu wa madrasa wanahitaji Elimu ya saikolojia na technic za kufundisha watoto Elimu ya dini, wengi ni wahitimu tu wa Elimu ya dini ila sidhani kama wana utalaamu wa kufundisha watoto wadogo.
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Wakiiacha hiyo mitoto watapata wapi waumini?Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufia
Mitoto yenyewe ukisema uwalimishe au wachimba kashimo wanaweza kuzimia
Mitoto ya kizaz hiki ni kuiacha tu
Ova
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Naona wazaz humu hawataki watoto wao wapewe adhabu wala kuguswaFerre Gola alimchapa mwanae akaishia kufungwa miezi mitatu nchini Ufaransa.
Ndo haohao baadae wanalalamika kina Mwigulu kurithisha watoto wao uongozi. Siku hizi matajiri wakubwa na viongozi wamekuwa wajanja kulea watoto wao. Mambo ya tuition masaa 24 hakuna kwao.Naona wazaz humu hawataki watoto wao wapewe adhabu wala kuguswa
Ova