Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Ni muendelezo wa utumwa tu.
No we have maids different parts of the world ,we do not treat them as slaves , we see them foreign workers providing services with pay
Asian workers are paid more because are more professional respectable and don't run away
Utumwa is your dream in a modern world ,get up and get real
 
Hivo vitoto vyenu vikiwa nyumbani mnavidunda.

Ila shuleni mnataka waalimu wawe wana payuka tu vielewe?.

System ya Viboko kwa watoto ni matokeo ya malezi mabovu. YES asilimia kubwa ya low to muddle icome familly hawa lei watoto, Wanakuza tu kama mifugo. Mwishowe toto linakua haliambiliki halisikiki
 
Una
Nyinyi wakiristo watoto wenu wachieni waishi kama wanaishi wazungu
Hatukatai watoto kuchapwa lakini siyo kwa staili ile kama mtu unaua nyoka, ule ni ukatili na matokeo yake hao watoto watachukia hiyo ilm yenyewe.
 
Do you know muslim population in your country is about 35 percent
How can you build a successful progressive nation with this hate towards a religion which has bigger population in your own neighborhood
 
Ujinga tu. Watoto wanakaririshwa kama kasuku kwa lugha wala hawaifahamu. Njia kwa kawaida inayotumika kwenye madrasa kupiga sana fimbo na huweza kugeuka kua mateso kwa mtoto.
Kwa hivyo iwe chaguo kwa mzazi. Kama hupendi mateso kwa mwanao usimpeleke madrasa.
 
Watoto kukarishwa mwisho wa siku wanajua. Ndio mtoto mdogo muislam ukimwambia Yesu ni mungu atakukatilia. Wakiristo wanaumia sana wakiwaona waislam wapo madrasa
 

unateseka ukiwa wapi?
 
Masuala ya dini na fimbo kweli, unamlazimisha kuelewa au kuamini? Mwache akue akipata akili atachagua Imani aipendayo
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
😲😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…