Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

😲😲😲
 
Mkuu Ulaya na sisi ni tofauti kabisa tukifata tabia za Wazungu jamii yetu itapotea, Kwa wazungu wenzetu kijana mwenye miaka 14 anajifunza kunywa pombe na kuvuta sigara tena ndani ya familia na siyo kwa kujificha kama hapa nyumbani.
 
Kwani sisi jamii zetu ni bora sana kuzidi jamii za wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…