Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Nitapeleka kesi mahakamani dini ya kiislamu ifutwe sikuwahi kuona faida zake kwa mwanadamu zaidi ya hasara chungu mbovu ikiwemo kuuza bandari kwa waarabu just kwa kijikomba kwa waarabu kwa viongozi weusi tii wanaovaa matambara ya kiarabu wakidhani na wao eti ni warabu.
😲😲😲
 
Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.

Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.

Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto

Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''

Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Mkuu Ulaya na sisi ni tofauti kabisa tukifata tabia za Wazungu jamii yetu itapotea, Kwa wazungu wenzetu kijana mwenye miaka 14 anajifunza kunywa pombe na kuvuta sigara tena ndani ya familia na siyo kwa kujificha kama hapa nyumbani.
 
Kwani sisi jamii zetu ni bora sana kuzidi jamii za wazungu?
 
Back
Top Bottom