Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

BIBLIA INASEMA KAMA HUTUMII FIMBO KUMCHAPA MWANAO BASI JUA KUWA HUMPENDI.

Mithali 13:24

"Yeye asiyetumia fimbo yake hampendi mwanawe,
bali yeye ampendaye
huwa mwangalifu kumwadibisha."
 
BIBLIA INASEMA KUWA UPUMBAVU UMEFUNGWA KATIKA MOYO WA MTOTO HIVYO FIMBO NDIO HUTUMIKA KUUFUNGUA

Mithali 22:15

"Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,
bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye."
 
Mithali 20:30

" Mapigo na majeraha huusafisha ubaya,
nayo michapo hutakasa utu wa ndani."
 
nitajie hasara 10 za hilo jambo na kisha nitajie faida 2
1)Ni ujinga kupiga mtoto viboko.
2)Unasabisha hofu kwa mtoto.
3)Unamsababisha maumivu ya mwili
4)Unamnyanyasa kihisia.
5)Unamuathiri kisaikolojia.
6)unasababisha akariri mafundisho bila kuelewa.
7)unamlazimisha kufuata dini bila kupenda.
8)unazalisha kizazi kisichojiamini.
9)unaeneza ushamba.
10)Ni upumbavu.

Hakuna faida kabisa za kuchapa watoto viboko kwa sababu wanaweza kuwa na maadili na kufuata mafundisho ya mzazi, mwalimu au mlezi bila kuwachapa viboko.

Kuna njia nyingi za kumuadhibu mtoto anapokosea.

Nyumbani kwangu mtoto akikosea simpigi, nampa adhabu yenye faida.

Naweza kumwambia akopi dictionary kuanzia herufi A hadi P.

Au nikamwambia afue nguo za familia nzima, hizo ni adhabu zenye faida.

Nyumbani kwangu nimepiga marufuku kuwapiga watoto, na watoto wangu wana maadili na utii kuliko wa majirani wanaopigwa kila siku kama ngoma.
 
BIBLIA INASEMA KUWA UPUMBAVU UMEFUNGWA KATIKA MOYO WA MTOTO HIVYO FIMBO NDIO HUTUMIKA KUUFUNGUA

Mithali 22:15

"Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,
bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye."
Bibilia na Quruan ni maandiko yaliyopitwa na wakati.
 
Sasa unajua madhara yaliyojitokeza huko ulaya kwa kukataza watoto kutochapwa?mitoto ya ulaya haina nidhamu hata kidogo wanaweza kukuchapa makofi mzazi,wanakutemea mate,wanakutukana na hauna cha kuwafanya sasa hiyo ndio unapenda itokee kwa watoto wako?si kila kitu tuige ulaya kuna vya kuiga na kuna vingine vya kuvidharau.
Ngoja kesho kuna video nizitafute nitakuwekea hapa uone jinsi gani wazazi wananyantasika na watoto wao
 
Naunga mkono hoja ya mleta Uzi!.
Wazazi wasiotaka watoto wao kuadhibiwa wakae nao majumbani wawafundishe wenyewe!.
 
Mmegundua nini au kitu gani mmefanya huko oman kwenye ulimwengu huu wa science na technology ukiachana na chant za death to israel😂
Come and see for your self,we don't have to waffle all day we work
If you like and love israel why don't you go to them and find out how they treat african
 
Siyo sawa mtoto kumtemea mate au kumpiga mzazi, lakini kwa maoni yangu, ni bora mtoto ampige mzazi kuliko mzazi kumpiga mtoto.

Najua utashangaa sana!
 
Aende Uarabuni ilikotoka dini akawachape watoto wa kiarabu hivyo aone cha moto,Hata Mtume(S.A.W) anaseme muwachape watoto kwa fimbo sio za kuumiza,Mtu ana stress zake tu anataka azimalizie kwa watoto wa watu
 
Njia nyingine mnazotumia kuwaingizia watoto juzuu hazifai, kipigo ni mojawapo ya njia zisizofaa.
 
Fucking islamic religion,
How could you treat these child like this!?
Ok after they have claimed those fucking stupid verses, what else!? Do they become engineers, doctors, scientists, technologists! Or they end up being married into polygamous marriage! With at least 5kids,!
The madrasa, is full of shit!
There is no madrasa in China! Children of Ridhiwan kikwete, Grand children of samia, they don't go through these fucking religious setup, they are enlored to Tanganyika international school, feza,!
Stop these shit you fucking Muslim ulmaha
 
Siyo sawa mtoto kumtemea mate au kumpiga mzazi, lakini kwa maoni yangu, ni bora mtoto ampige mzazi kuliko mzazi kumpiga mtoto.

Najua utashangaa sana!
Dah hayajakukuta bado,nyinyi ndio aina ya watu mnaoharibu watoto kwa kigezo cha uhuru na demokrasia mwisho wa siku mtoto akishahama nyumbani kwako anaenda kuwa jambazi au shoga huku mzazi bado unakenua meno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…