Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Watoto wanachanywa kuandika, mara waandike silabi mara maroroso yasiyoeleweka, sasa mtoto hapa hashike lipi? Haya maroro inatakiwa wafundishwe watu wazima wanaojua kusoma na kuandika silabi na hirabi za kueleweka
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.


Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .


Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.


Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.


Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.


View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Huyu mpuuzi afungwe tu akaliwe na wanaume wenye ukame huko makazi mapya.....utampigaje mtoto wa mwenzio kisa dini ya kuletewa isiyo na mantiki kwa Mwafrika yeyote?
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.


Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .


Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.


Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.


Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.


View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Huyu mzazi ajengewe sanamu, kwa kweli kawaamsha wazazi wengine wasiojitambua akili. Utampelekaje mwanao madrasa kukariri vitu visivyo na faida maishani mwake na kisha anachapwa?
 
Mbona viboko ni vitu vidogo sana kwenye hiyo imani? Anatakiwa akatwe shingo na Jambia kama anazingua kuielewa dini ya mwarabu
Nimecheka mpaka mbavu zaniuma! Hahahahaha 🤣 😂 🤣 😂 🤣 🤣
 
Kwani ni lazima tuishi kama wanavyoishi watu wa Ulaya
Si ndio wanawaweka mujini? Wakikata misaada mnakufa njaa. Na ndio waliowatawala. Ulaya ndio wanawalisha na kuwavisha. Bila misaada yao mnakufa njaa nyie watu. Tena unyamaze wasikusikie.
 
Huyo mtoa mada mwenyewe kasoma madrasa na labda alifugwa huko.
Usikute mtoto kupigwa huyo shekhe alitaka kumtafuna tako mtoto kakataa kashushiwa fimbo.
Mtoa mada alikubali akaliwa tope na ustaadh bangungu.
Hahahahaha 🤣 😂 🤣 😂 🤣 😂
 
Habari ya kuchamba kwa mchanga huko Jangwani inamsaidia nini Msukuma ambaye anaishi kando kando ya Lake Victoria.Hayo mafundisho ya aina hii yanamsaidia zaidi MWARABU wa Jangwani.
Kula mkate wa tesu na divai inamsadia nini Mwakibwetele huko kwao mbeya.

Nyani haoni kundule.Nyie wote ni misukule ya dini zenu hakuna mwenye nafuu.Mmerithi tamaduni za watu leo mnakazi ya luchekana😀
 
Ustadhi kayakwaa!
Hakuna majibu rahisi kwanini ustadhi kampa kipigo cha kufa mtu mtoto!
Je mtoto ni hakutaka au alishindwa kariri juzuu?
Je mtoto alikataa kutoa MixbyYas?
Au ustadhi kaleta frustration zake Madrasa?!
Mahakamani kitaeleweka...
 
Ifike wakati kila mtu aleee watoto wake hadi kuwafundisha maan ktk jamii tunatofautiana kifikra, mtazamo, imani na malezi. Km hutaki mwanao achapwe viboko kwa sababu zako binafsi au sababu ya usasa hasa utandawazi, ni vizuri ulee na kumfundisha elimu dunia mwenyewe km unadhani ni rahisi hasa km mtoto atakua amechukua umbumbumbu wa mzazi mmojawapo.

Km unataka mwanao apate elimu kwa namna yoyote ile, iwe kwa maumivu au starehe basi mpeleke mwanao shule.

Siwatetei walimu, ila mimi ni mzazi ninajua vyema jinsi watoto wa sasa walivyopasua kichwa. Hawana haibu wala adabu. Wakiwa nyumbani baadhi yao hujifanya wema sana lakini wakifika shuleni ni vurugu mechi, ila mzazi goigoi na asiejua maana hata ukimueleza hatajua maana.

Nawapa pole sana walimu wa sasa maana wanafundisha watoto wa kihuni waliotoka kwa wazazi wahuni ndo maana wanalalamikiwa. Watoto wao wakiachwa wafanye wanachotaka hatimae wakifeli wanawatupia tena walimu lawama.

Enzi zetu hata kusema tu nyumbani kuwa nimechapwa na mwalimiu ulikuwa hauwezi maana kitendo tu chakusema ulikuwa unachapwa zingine za kukutosha mwezi au mwaka mzima. Mwanafunzi ulikuwa ukiskia kuwa mwalimiu kapita nyumbani kwenu hata km ilikuwa kwa ajili ya kusalimia labda anafahamiana na mzazi wako, ulikuwa unapata mchafuko wa tupo gafla maan kuna kuwa na hisia kuwa huenda mwalimu kamuelezea baba yako utundu na tabia zako zote unapokuwa shule. Siyo kwamba wazazi wetu walikuwa wajinga, la hasha, walikuwa na akili sana kuliko kizazi hiki cha Bongo Flavour. Walijua nini maana ya mwalimu na umuhimu wake ktk jamii. Na ndiyo maana mwalimu aliheshimika sana popote aliopopita. Lakini leo mwalimiu anachukuliwa na wanafunzi na wazazi km MSHIKAJI. Hatari sn hii.

Kweli bora ufadhili mbuzi utakunywa mchuzi, siyo mwanadamu.

Nimemaliza: BANDOKITITA said
Inchi hii mijitu inashindia miguu ya kuku,vichwa na mautumbo ya kuku plis ugali wa mbegu za GMO wananchi wake wanapenda kushabikia kila ujingaujinga bila kuchuja.

Mambo ya msingi huwezi wakuta kwa wingu huu.Katika mada kama hii wengi wamechangia kwa hisia tena hasi kwasababu ya chuki walioijenga kwa dini nyingine.

Hili taifa la chuki na akili za hovyohvyo halina maisha marefu.
 
Mimi pia Naona kuwachapa watoto ni Sawa,kwa kuangalia tu hao watoto wamechelewa kuja madrasa.

Ila ametumia nguvu nyingi sana kuchapa hao watoto na idadi ni kubwa.

Hayo ni yangu,wanangu pia huwa nawachapa nyumbani.
Wanaowaambia hayo watoto wao wanasoma ulaya mazingira ya kibongo bongo fimbo muhimu.Watanzania msidanganyike.
 
Kwani madrasa kunafundishwa nini hasa? Labda tuanzie hapo!
Kamuulize padri kama wewe ni RC anahekima na busara atakujibu maana wao wanasoma mpaka ubudha ndio maana huoni WAKIPAYUKA PAYUKO HOVYO.Ila kama unaabudu kwenye wahuni wanajiita mitume hapo sina la kukishauri.
 
Hata klabu za mpira mchezaji akichelewa mazoezini hupewa adhabu na kutozwa faini. Chelewa kazini halafu uone bosi wako kama atakuchekea.

Mwalimu anapokuchapa unaona kama anakuonea ila haya masomo ni kwa ajili ya kukuandaa na maisha yako ya baadae. Masuala ya uchelewaji ni hulka zetu watanzania kwasababu ya tabia hii kutokukemewa kwa watoto matokeo yake wanakua nayo tabia hii hata katika maisha yao ya kila siku
Kwa malezi haya ya sasa takwimu za sasa zinasema 40% huko makazini hawatimizi wajibu.Tukiendelea na huu ujinga Takwimu zitafika 80% na kila mtu mpaka serikali itaendelea kushangaa.

Hizi siasa kwenye mambo ya msingi kama maadili na utamaduni zitatutokea puani.

Na wanaopigia chapuo watoto wao wanasoma nje ya nchi😀😀😀maskini huku mitoto yenu mnataka ilelewe kimaimayai wakati mazingira yenu hayaruhusu.
 
BIBLIA INASEMA KAMA HUTUMII FIMBO KUMCHAPA MWANAO BASI JUA KUWA HUMPENDI.

Mithali 13:24

"Yeye asiyetumia fimbo yake hampendi mwanawe,
bali yeye ampendaye
huwa mwangalifu kumwadibisha."
Mihemko,chuki na ubinafsi vimejaa kwenye vichwa vya watz.
 
Kwa nini msiwafundishe watoto general knowledge kuhusu dini yenu, kuhusu Allah, kuhusu dhambi na kutenda mema? Mnaishia kuwakaririsha vitu vigumu vyenye lugha isiyoeleweka wakishindwa mnawapiga. Nakumbuka sisi tukiwa wadogo tulikua tunapelekwa Sunday school tunafundisha kuhusu Mungu, dhambi na kutenda mema, hatukufundishwa kukariri torati wala agano jipya/ la kale wala ufunuo wa Yohana, na hatukuwahi kupigwa.
 
Fucking islamic religion,
How could you treat these child like this!?
Ok after they have claimed those fucking stupid verses, what else!? Do they become engineers, doctors, scientists, technologists! Or they end up being married into polygamous marriage! With at least 5kids,!
The madrasa, is full of shit!
There is no madrasa in China! Children of Ridhiwan kikwete, Grand children of samia, they don't go through these fucking religious setup, they are enlored to Tanganyika international school, feza,!
Stop these shit you fucking Muslim ulmaha
Uwe na chembe ya busara kuandika kingereza hakukufanyi uonekane na akili nyingi bali mpumbavu asiyetumia akili sawasawa.

Chuki yako kisaikolojia inakutesa wewe zaidi ya mtesi wako.Jiponye kwa kumpenda adui yako na utaanza kuona mabadiliko katika harakati zako.

Hakuna aliye mkamilifu sisi sote ni wakosaji.Dini zote tumeletea ila akili kila mtu alipewa yake.Itumie akili yako vyema na itakuongoza katika njia iliyonyooka.


Kuwa daktari,Injinia au pilot sio mafanikio.Mafanikio ni kuishi maisha ya furaha n amani.

Itafute amani na utaishi kwa furaha maishani mwako.
 
Back
Top Bottom