Miss kipingu
New Member
- Jun 4, 2024
- 4
- 14
Acha hizo ww. Msikilize mzazi wako na halafu uwe mtiifu kwani hicho kidato cha nne ni sawa na kusema umefuta ujinga tuu; sasa nenda kasome.Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Unataka kuwa designer kama Noel bwabwa!??.... Kama ndio acha tu... Madisigner asilimi zaidi ya 70 ni mabwabwa....Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Hivi point 21 ni Div two au Division 3?Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Mitoto ya siku hizi bhana! Huko mashuleni wao kwa wao wanajazana ujinga tuu; eti anataka kusoma designing............ 👉Hivi point 21 ni Div two au Division 3?
Turudi kwenye swali lako, kwa nini mzazi wako anataka uende advance? Wewe unataka kusoma Designing ya nini?
Naomba unijibu swali hili ndo nikushauri"KATI YA WEWE NA WAZAZI WAKO NI NANI ANA UZOEFU WA KIMAISHA?"Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Kwani una umri gani kwa sasa? Kama hata miaka 20 hujavuka, basi ni vyema ukamsikiliza mzazi wako. Nenda kidato cha 5! Halafu ukifika kasomee combination mpya inayoendana na hobby yako.Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Kuna wengine wana uzoefu na maisha ila wanazidiwa vipato na watoto waoNaomba unijibu swali hili ndo nikushauri"KATI YA WEWE NA WAZAZI WAKO NI NANI ANA UZOEFU WA KIMAISHA?"
...utasikia mzazi yeye hajasoma kama mimi nilivyosoma...Naomba unijibu swali hili ndo nikushauri"KATI YA WEWE NA WAZAZI WAKO NI NANI ANA UZOEFU WA KIMAISHA?"