Nenda chuo achana na hayo matakataka ya form 5&6 hayana maana katika ulimwengu wa sasa zaidi ya kupoteza muda, wazazi wasio jielewa ndio hao wasiojua dunia iko wapi wanalazimisha watoto waishi zama za ujima za miaka 20 iliyopita wakidhani elimu bado ni ile ile.
Huyo mzazi wako asipokuelewa mtafute mtu mzima mwenye busara amueleweshe ajue mambo yako vipi, ni vilaza pekee hupeleka watoto A-level kwenda kupoteza muda, na ukiwauliza elimu ya 5&6 ina manufaa yapi, hawajui zaidi ya kukalili ujinga.
Ni wakati sasa wa kufuta huu mfumo mbovu wa kupoteza muda masomoni ktk mambo yasiyo na maana.
Nenda chuo ukapate maarifa& vyeti, ikishindikana nenda hata VETA na sio hiyo takataka ya 5&6