Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Dah sijui ingekuwaje endapo tungekuwa uhusiano. Nimehuzuni sana.

Toka hapo kwa mama yako wewe pumbavu
Umeelekezwa vizuri unaleta ubishi maandazi kama unaona unayajua sana kakae kwako uishi utakavyo. Mbwa mshenzi
Kuelekezwa sijakataa. Kama anataka anihubiri na kunielekeza ni sawa. ila sio kunilazimisha.
Kwenda kanisani sio jambo la shurti.
 
Kuelekezwa sijakataa. Kama anataka anihubiri na kunielekeza ni sawa. ila sio kunilazimisha.
Kwenda kanisani sio jambo la shurti.
Acha ubishi wewe kenge. Kama hutaki shuruti kakae kwako. Rahisi sana unamtesa mama wa watu bila sababu mbwa wewe
Unampa sonona mama kisa unajiona umekuwa? Kama umekua ondoka kwa watu
 
Toka home kapange, kama bado unakula bure tii Sheria bila shuruti
Sheria zingine zote natii. ila hii ya kiiamani huoni kama haiko sawa?
Kwasababu kulazimisha imani ni kwenda kinyume na injili.
Neno lenyewe tu "imani" linajieleza. Yani uamini sio kulazimishwa.
 
Acha ubishi wewe kenge. Kama hutaki shuruti kakae kwako. Rahisi sana unamtesa mama wa watu bila sababu mbwa wewe
Unampa sonona mama kisa unajiona umekuwa? Kama umekua ondoka kwa watu
Kwahyo kwenda kanisani ni jambo la kulazimishana?
 
hata ukiwa na miaka 50 alafu ukawa unakaa kwenu, wewe bado ni mtoto inatakiwa ufuate yale unayoelekezwa na wazazi wako full stop!. Bado hujakua, akili yako bado haijapanuka hawawezi kukuacha ufanye unachotaka bila ridhaa yao, labda uhame kwao uwaonyeshe kwamba unaweza maisha bila msaada wao hapo wataanza kukuamini katika maamuzi yako. Tulia ulelewe bwana mdogo
 
Vingine vyote nafata. ila hii ishu ni ya kiimani zaidi hauoni tofauti?
 
Mi natamani sana nipate mdada mwenye akili kama huyu, mwenye uwezo wa kutafakari.

Umenifurahisha sana, una akili na nzuri zaidi ni hiyo avatar ya mirabel, watu wanaongalia animation movies wana akili nyingi
Asante mkuu...Weka ushauri wako sasa, Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom