Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Hizi ndio hasara za degree za jalalani.
 
Ungekuwa kwangu sio kanisan tu nyumban lazima wakat wa kusali utoe tafakari. Yaan ningekung'oa meno aisee.
 
Hizi ndio hasara za degree za jalalani.

Busara na hekima zinamatumizi yake.
Huwezi tumia busara au hekima Kwa mtu anayependa upumbavu.

Mtu unaelimishwa badala uulizwe maswali upewe ufafanuzi, Wewe unatoa msimamo kana kwamba unakitu unajua.

Unasema hauamini katika Dini,
Nakuuliza, Baba yako anaweza kukuoa? Au Baba yako anaweza kulala na Mumeo?
 
Maadam unakula ugali wa shikamoo kanisani utaenda tu🤣🤣🤣
Ipo siku utatafuta kumwabudu Mungu pasipo kulazimishwa
 
Maadam unakula ugali wa shikamoo kanisani utaenda tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo siku utatafuta kumwabudu Mungu pasipo kulazimishwa
HHaha nawewe umegeuka kuwa nabii?
 
Shunie
 
HHaha nawewe umegeuka kuwa nabii?
Haha amwaminiye Mungu ni nabii😂😂😂
Hali unayopitia ni ule ujana wa maji ya moto.
Kuna saa utazitafuta sana habari ya Mungu.
Namkumbuka babangu ulivyokuaga jeuri kupitiliza lkn ulifika wakati alimtafuta Mungu kwa udi na uvumba.

Wewe vimba tu siku ukitupiwa kajini kadogo kakuhangaeishe weee aash kanisa utalisaka mwenyewe😂😂
 
Mrembo She Quoted you nasikitika sana kuona unalazimishwa kusali ikiwa hupendi kufanya hivyo.

Mrembo hii ni Africa ukweli ni kuwa una haki ya kuamua usali au usisali ila shida ni hizi akili za wazazi wetu mapopoma wanaohisi kuwa hata ukishakuwa mtu mzima lazima akuendeshe ilimradi yeye inambidi kuwa mshauri tu .

Sasa hiko hivi hapo kwenu ili kuitunza amani kubali tu kwenda huko kanisani ila nenda kujipumzisha poteza muda kama wao watakavyo hii ni kutokana na kuwa huna kwako bado.

Ila ukipata kwako ishi utakavyo ila kuhusu kukulazimisha kusali sikubaliani na mama yako ila ndiyo hivyo sasa upo kwake tii ili maisha yaende.

Ila nje ya mada vipi utaki kuolewa ?[emoji3] Maana yuko mwamba hapa yeye na mambo ya kanisani ni mbingu na ardhi .

Ikiwa uko ready yuko pale anakusubiri pm ukuambie jambo[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una miaka 24 na unaishi kwa wazazi halafu hautaki kufuata masharti yao.

Kama unaona hauwezi kuwasikiliza unapaswa uhame ukaanze maisha yako. Umri unakuruhusu na wala hawatakuuliza ukiondoka. Wewe wape taarifa tu kuwa unahamia kwako.

Ukiendelea kuishi hapo kwao wanakuona mtoto na lazima wakupangie masharti.
 
Akinihimiza hajanlazimisha au kuingilia uhuru wangu, ila akianza kusema ukiwa chini ya paa langu LAZIMA uende disco, utazame Tv kutwa na ulete bwana wako home ulale naye...atakuwa ameingilia uhuru wangu.
Ila ndivyo unavyopenda sio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…