Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?


Nimesema hatufanyi hayo makosa kwasababu tunajua kabisa sio sahihi. Mtu mwenye akili nzuri anaelewa kuuwa sio jambo la busara. Anaelewa kuiba sio jambo la busara. Hatuna haja ya kua na vitisho vya kwamba tutachomwa siku tukifa.. sijui nn...
.
Kwamba atheists ndio wanaleta uharibifu ulimwenguni? Fuatilia utaona kua mataifa yenye atheists wengi ndio yenye amani zaidi... all war-torn countries karne hii ziko chini ya dini/zina waamini wengi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ishu sio mimi kuamini au kutoamini, huo ni uamuzi wangu binafsi kwasababu nimeshazidi 18 na nina uwezo wa kupambanua.

ishu ipo kwenye uhuru wa kuabudu. Kwanini tulazimishane?
Unalazimishwa kwa sababu ni sheria ya familia, ukiendelea kukaidi utajenga image mbaya hata kwa wadogo zako (kama unao), watajifunza kutokutii.

Inapaswa utekeleze matakwa ya familia mpaka pale utakapoweza kujitegemea

Hata mimi ninapokwenda kwa familia ya wengine pamoja na kuwa ni mtu mzima lazima nitii sheria za pale.
 
Kwahyo ukienda kwa kaka ako shehe ijumaa
unaenda kuswali, ukienda kwa dada mlokole jumapili uko nae kwa mwamposa?
 
Aibu

24 year's unafanya Nini NYUMBANI!?

Tafuta geto uanze kulipa kodi,changamoto za utafutaji kodi ya nyumba zitakuza akili yako kiutafutaji!

Changamoto hizo ndio zitakufanya ujue kusali na kumuomba MUNGU afungue Njia za utafutaji wako wa kila SIKU!

Unadumaza akili yako KWA kukaa NYUMBANI!

Yaani unakuwa mvulana badala ya MWANAMME!!!!!
 
Huyo ni mtoto wa kike...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kama mimi tu,hakuna sehemu inaniboa kwenda kama kanisani
 
People in church they will turn on you fast if you don't see things their way.
Mimi naamini kuwa Religion is for people who can not think for themselves.
Spirituality / consciousness is for people who truly seek to understand the world around them.
 
Can we do good without religion?
 
Egotism. Utavuka salama hiyo stage. Nakuombea
 
Mama yako anakosea mno.Kwa umri wako hukupaswa kupangiwa na mtu miaka 24 wewe ni mtu mzima hupaswi kupangiwa hata kama na mzazi ila heshima tu itawale hapo kwenu.Wewe upo kama mimi mambo ya kanisani hayanisaidii chochote
 
Kwenda kanisani ni lazima as long as upo ndani ya nyumba yake na amekulea hivyo hayo mambo ya umekua unaweza kufanya maamuzi yako utafanya ukiwa nje ya nyumba yake.Mama yako anaupiga mwingi big up sana kwake.
 
Yeyote aliye chini ya jua IBADA ni LAZIMA.

Usipomwabudu Mungu, unamwabudu Shetani.

Si makanisa yote yanamwabudu Mungu, mengine ni ya maagent wa Shetani, mwampopousa ni mmoja wao.

KANISA ni mtu aaminiye.

MADHABAHU ni MOYO wa mtu aaminiye.

HEKALU ni MWILI wa aaminiye.

KICHWA Cha Kanisa ni Yesu Kristo.

NB; Mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Angalizo: Mbingu ni Moja, mama au babako Hana Mbingu atakupeleka, yatosha amekuonyesha njia ikupasayo kuifuata.

Mtafute Mungu wewe binafsi utampata, na atakupa ROHO wake MTAKATIFU atakayekuongoza wapi pa kujumuika na KANISA wenzako Kwa IBADA.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…