Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?

Jibu limejificha katika sentence zenu. "Anachotaka" na "anachohitaji".

Mzazi jukumu na wajibu wake kwa mtoto ni kumpa na kumtimizia mtoto mahitaji yake ya kimsingi na si kumpa anachotaka au kumtimizia matakwa yake.
 
CHADEMA wanaiba sana ruzuku.
 
Magufuli ndio jembe mchapa kazi bora.
 
Rais Magufuli amekomesha rushwa na ufisadi.
 
Rais Magufuli anatoa funzo kubwa kwa CHADEMA.
 
Rais Magufuli amejua kutupigania Watanzania Wish you all the best Mr President.
 
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli.
 
Tumpongeze Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kuzalisha wasomi wazalendo kama Rais Magufuli.
 
Kwa jinsi Rais Magufuli alivyopambana na corona atashinda kwa 100%.
 
Wanaompinga Rais Magufuli ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…