Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?

Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?

sasa mtoto wa miaka minne watafanya nini...nyie ndo huwa mnaspoil watoto..mwishowe mnakuja kuwapa shida hao hao watoto mambo yakiwaendea kombo...au unataka kuniambia kijana wa 16-18 kwako bado ni mtoto
Bado ni mtoto hata km 20s ikiwa hajaanza kujitegemea binafsi.
 
sawa aunt....ni wewe tu..hata akifika 30 bado ni mtoto tu...mchelea mwana hulia na wakwao....
Sawaah tyuuuh, nyie ndo mnawaacha watoto wanahaha kuhangaika kutafuta life mtaan, kisa eti ameshavuka umri wa utoto, huo n ukatili na ubinafsi. Mtoto km hajaitegemei binafsi anabaki kuwa mtoto na anahitaji msaada kutoka kwako.
 
Mi nadhani si kweli sana japo inategemea anataka nini mtoto na kwa wakati gani.

Mfano suala lako...umekaa na tisheti miaka 3 mzazi anadai unaharibiwa? Wakati wapo wazazi walikuwa wakinunua sare kila muhula mtoto anarudi na sare mpya na mabegi. Au wengine kila mwaka watoto hununuliwa sare mpya.

Mi mwanangu wa miaka 4 Nampa kila analotaka...akitaka kwasasa...alikataa ugali anataka wali nampa, akikataa wali anataka chipsi Nampa, akikataa juisi akataka soda nampa.

Maisha yenyewe mafupi haya....nikifa atazoea tu maisha magumu

Maisha magumu hayana experience.

Wapo watu wametoka maisha ya chini lakini wanapenda maisha ya juu, wapo watu wamedekezwa lakini wameishi poa tu kwenye maisha magumu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo mkuu unamaanisha hakuna fundi wa maisha magumu?bingwa au mtabe wa maisha magumu?
 
Kila mtu anapenda maisha mazuri, hakuna fundi wala bingwa wa maisha magumu
sawa sema falsafa ya huyo baba wa mtoa mada naikubali hata mimi huwa naitumia kwa familia yangu yaani kuanzia mke wangu,watoto na wadogo zangu.
Nitajitahidi basic needs zote nizikamilishe lakini vitu vingine ambavyo sio vya msingi huwa navipotezea hasa pale wakati ninapokuwa na majukumu mengi.
Hii huwa nawajenga wasiwe watu wa kubweteka wajue kwamba pesa inasakwa kwa tabu na inauma kugawa hovyo.
Mke na watoto ukiwabwetesha watakusumbua sana maana yake kila kitakachopita watataka uwanunulie matokeo yake inakuwa kero.
Wafundishe wawe na uwezo wa kuchanganua kutofautisha vitu gani ni vya msingi,vya kufanywa kwa haraka na vitu gani ni vya ziada/option.
 
Umenikumbusha....mimi nilisoma kuanzia Form one mpaka four...bila kununuliwa begi la kubeba mgongoni....Madaftari yangu nilikuwa nabebea kwenye Mabox kama haya ya Sabuni....nakata kipannde cha box nakunjia madaftari yangu....BINAFSI NILIUMIA SANA miaka yote ya masomo yangu....
 
Hapo mzazi anafikiri alikulea katika malezi Bora, LoL kumbe alikuumiza kisaikolojia na si kwamba imekufanya uzoee hiyo hali.
 
Sawaah tyuuuh, nyie ndo mnawaacha watoto wanahaha kuhangaika kutafuta life mtaan, kisa eti ameshavuka umri wa utoto, huo n ukatili na ubinafsi. Mtoto km hajaitegemei binafsi anabaki kuwa mtoto na anahitaji msaada kutoka kwako.
Inategemea msaada gani na kwa umri gani
 
Nakumbuka nilivoanza darasa la kwanza mama alinipa mia nikala visheti karibia wiki nzima, wiki ya pili ilivoanza asubuhi na mapema nikaenda kugonga chumbani kwa mama, mama akatoka akasema ''leo sina hela'', nikaanza kama kuzingua flani hiv, dingi alivosikia vile akatoka nilipigwa konzi moja heavy sikurudia kuombaomba hela ya kula shule... maza alikuwa ananipa...lakini dingi alikuwa anakaza sana...ndo mana maza nikimtumia laki dingi namtumia twenty, malipo ni hapahapa duniani...😀😀😀😀
jinga kabisa ww...
hiyo mia uliokuwa unapewa na mama hujui kama mama alikuwa anatoka kwa baba!!!?
 
Back
Top Bottom