Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Wewe una msimamo mkali sana mkuu. Mhafidhina@Kwa mantiki hiyo wewe una mkataba na Muumba wako kuwa utakaa hapa duniani hadi huyo mtoto wako ajitegemee?? Ninyi ndo mnaowadekeza watoto hadi kumnunulia kitanda cha kuanzia maisha unampa na kochi kuubwa la kuanzia maisha. Mtoto huyo huyo analifanya ndio "Love nest" wa kike anaipatia hapo mimba yake ya kwanza kutoka kwa msela aso na chochote ila sound kubwa. Ila kama babako alikuachia urithi kula na wanao. Binafsi simpi chochote zaidi ya elimu.