Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Infantry Soldier wewe pia unaonekana ni wa kishua alafu unazuga. Soldier mboga 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani si kweli sana japo inategemea anataka nini mtoto na kwa wakati gani.
Mfano suala lako...umekaa na tisheti miaka 3 mzazi anadai unaharibiwa? Wakati wapo wazazi walikuwa wakinunua sare kila muhula mtoto anarudi na sare mpya na mabegi. Au wengine kila mwaka watoto hununuliwa sare mpya.
Mi mwanangu wa miaka 4 Nampa kila analotaka...akitaka kwasasa...alikataa ugali anataka wali nampa, akikataa wali anataka chipsi Nampa, akikataa juisi akataka soda nampa.
Maisha yenyewe mafupi haya....nikifa atazoea tu maisha magumu
Maisha magumu hayana experience.
Wapo watu wametoka maisha ya chini lakini wanapenda maisha ya juu, wapo watu wamedekezwa lakini wameishi poa tu kwenye maisha magumu.
Kwani unafikiri anakula bila kiasi?Mfundishe kuwa na kiasi, kwa umri wa miaka 4 atakuwa anaomba vyakula tu, kadiri anavyokuwa anaweza omba hata vitu ambavyo hata wewe huna.
ukishindwa kumcontrol mtoto utotoni itakusumbua ukubwani. sio kila anachoomba unampa. kila siku atalilia chips na ww utampa. utaharibu afya yake.Kwani unafikiri anakula bila kiasi?
Anakula kwa kiasi
Sema unaweza pika ugali akataka wali..au akataka chipsi .....kiazi fungu la jero anakaangiwa anakula anafurahi.
Anataka zaidi ya chakula hata baiskeli, mdoli....nk...akiomba nisivyoweza namjibu tu nitakununulia maisha yanasogea.
subscribed 👍Marahaba, kama uwezo upo mtoto apewe tu akitakacho, maana usipompa atapewa na walimwengu.
ukishindwa kumcontrol mtoto utotoni itakusumbua ukubwani. sio kila anachoomba unampa. kila siku atalilia chips na ww utampa. utaharibu afya yake.
we mnunulie mtoto wako ice cream kila mara halafu jiandae kupambana na kifua na mafua ya mtoto.
Sawa dogo@mimi kama mtoto sioni chochote kibaya na mbona sijaaribika?
Kuharibika maana yake ni kushindwa kuishi mazingira tofauti tofauti kwa muktadha huualafu mnaposema kuharibika mnakua mna maana ipi?
Safi sana. Well saidKuharibika maana yake ni kushindwa kuishi mazingira tofauti tofauti kwa muktadha huu
sawa kaka@nitamnunulia akipendacho lakin iwe kwa kiasi,
Kwa mantiki hiyo wewe una mkataba na Muumba wako kuwa utakaa hapa duniani hadi huyo mtoto wako ajitegemee?? Ninyi ndo mnaowadekeza watoto hadi kumnunulia kitanda cha kuanzia maisha unampa na kochi kuubwa la kuanzia maisha. Mtoto huyo huyo analifanya ndio "Love nest" wa kike anaipatia hapo mimba yake ya kwanza kutoka kwa msela aso na chochote ila sound kubwa. Ila kama babako alikuachia urithi kula na wanao. Binafsi simpi chochote zaidi ya elimu. Akipenda kusoma nauza kila kitu asome afaulu vizuri aweze kubuni maisha yake mazuriMarahaba, kama uwezo upo mtoto apewe tu akitakacho, maana usipompa atapewa na walimwengu.
Mangatara haya ni maisha ya kikoloni, mtoto apewe elimu na kama uwezo unaruhusu ajengewe msingi wa kunyanyuka, hapa ndio wenzetu ngozi nyeupe wanatuzidi! Mr MO na manji wazazi wao wangesema wakue watafute vya kwao kisa wamepata elimu leo wasingetambulika kama mabilionea. Lkn wamekuwa hivyo sbb ya misingi iliyowekwa na wazazi, ngozi nyeusi tuache ubinafsi, tuishi kwa kuweka misingi ya vizazi vinavyokuja na misingi hiyo si elimu pekee.Kwa mantiki hiyo wewe una mkataba na Muumba wako kuwa utakaa hapa duniani hadi huyo mtoto wako ajitegemee?? Ninyi ndo mnaowadekeza watoto hadi kumnunulia kitanda cha kuanzia maisha unampa na kochi kuubwa la kuanzia maisha. Mtoto huyo huyo analifanya ndio "Love nest" wa kike anaipatia hapo mimba yake ya kwanza kutoka kwa msela aso na chochote ila sound kubwa. Ila kama babako alikuachia urithi kula na wanao. Binafsi simpi chochote zaidi ya elimu. Akipenda kusoma nauza kila kitu asome afaulu vizuri aweze kubuni maisha yake mazuri
well said@Mangatara haya ni maisha ya kikoloni, mtoto apewe elimu na kama uwezo unaruhusu ajengewe msingi wa kunyanyuka, hapa ndio wenzetu ngozi nyeupe wanatuzidi! Mr MO na manji wazazi wao wangesema wakue watafute vya kwao kisa wamepata elimu leo wasingetambulika kama mabilionea.
wrong statement mkuuMangatara haya ni maisha ya kikoloni, mtoto apewe elimu na kama uwezo unaruhusu ajengewe msingi wa kunyanyuka, hapa ndio wenzetu ngozi nyeupe wanatuzidi! Mr MO na manji wazazi wao wangesema wakue watafute vya kwao kisa wamepata elimu leo wasingetambulika kama mabilionea. Lkn wamekuwa hivyo sbb ya misingi iliyowekwa na wazazi, ngozi nyeusi tuache ubinafsi, tuishi kwa kuweka misingi ya vizazi vinavyokuja na misingi hiyo si elimu pekee.
Nimekuelewa sasa mkuuwamekuwa hivyo sbb ya misingi iliyowekwa na wazazi, ngozi nyeusi tuache ubinafsi, tuishi kwa kuweka misingi ya vizazi vinavyokuja na misingi hiyo si elimu pekee.
Duuuh hatari sananitamnunulia akipendacho lakin iwe kwa kiasi, maana nikikomaa na misimamo ya kizaman mtoto ataend kupewa ivyo vitu na mabaharia ambao hawatomuacha salama