Mzazi: Mnyama wa ajabu aitwaye upendo wa kweli

Dedication kwa wazazi wetu 😍

Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote,

Ushauri wao umeniletea mafanikio mema,

Sasa naishi na watu vzr eeh,

sasa naishi na watu vzr eeeh,

Huku niliko wazazi wangu Sina ndugu eeh,

Lakini kutokana na wosia wenu, wazazi wangu

Najiona kama ni usseri, najiona kama nipo Tabata, najiona kama nipo nyumbani eeh najiona kama nipo nyumbani eeh mama!!
 
Kwa kweli, mzazi ni kiumbe wa kipekee. Anabeba uzito mkubwa moyoni, lakini anaonesha tabasamu usoni. Anapambana kwa ajili ya mtu mwingine kila siku, bila malipo ya moja kwa moja. Na ndiyo maana, mzazi anastahili siyo tu heshima bali shukrani ya maisha yoteπŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—
 
Cc Monetary doctor
 
Hii ndiyo asilimia kubwa ya wazazi wa kiafrika.

Anachozungumzia mleta mada Afrika hakipo.
 
Mrembo kachangie kwenye mada za kuliwa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…