Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

Umeongea vizuri sana sana ila hitimisho ni jumuishi katika uhanga na madhira ya madelila.
 
How much money is how many money? Lots of men out there cry the most about love and women than poor men, what the hell is this? Mmefika kondoa, singida, kilimanjaro, manyara, arusha mkazoea pisi kali daily au mnamaana gani nyie wengine, una mshusha demu na V8 analiwa kila siku na wadau kijiweni, life is purely a puzzle and undisputed claim is that the poor guys eat the lionshare of pusiz of most rich men's women.
 
Sikiliza nikushauri huyo mama mtoto wako anakupenda sana ila huyo alienae anampenda pia.Niliwahi kuwa na mpenzi mwalimu ambaye alikuwa mchumba wa mtu lakini mwanaume wake akiwa yuko mbali,nilimsaidia kumlipia kodi ya chumba,umeme,maji na chakula.Sasa kuna siku akapiga simu mchumba basi kwa hisani nilizokuwa namtendea yule mwanamke hakupokea simu,baada ya kuita sana nikaipokea na kumueleza kiume kuwa aendelee na maisha kwani mchumba wake ninae na yuko sehemu salama.Jamaa alipaniki pressure juu akakata simu inaelekea akawataarifu ndugu na jamaa zake wakaanza piga simu basi nikawa nazipokea nawaelekeza ..aisee ilikuwa ni vilio.Kwa sasa nimemzalisha watoto wawili,na ushauri wangu kwako hakuna mapenzi ya mbali huyo jamaa aliekaribu nae ataendelea kumla mama mtoto wako na ndivyo penzi litakapozidi kushamiri na hatimae kukuachia mzigo mkubwa wa maumivu.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
daaah wewe noma
 
Ushauri wangu ni kwamba huyo mwanamke anakupenda ila kutokana na umbali ameanzisha mahusiano mengine. Hakuna kitu kibaya kama umbali katika mapenzi. Distance inaua mapenzi na nina uhakika hata wewe huko mbali ulipo una demu mwingine.

Mchukue mzazi mwenzio muishi pamoja either Musoma au hapo Tabora. Otherwise mtakuja kuharibu future ya mtoto wenu na penzi lenu
 
Wewe kweli ni mtoto,

Sijui kwa kuwa huna ajira ndo maana umekuwa mnyonge kiasi hicho!!!!

Nashindwa nikushaurije

Kwa hiyo hata ukioa mwanamke akitokea ameleta bwana kwenye nyumba yako itabidi umchukue mkeo mkalale gesti?
 
Dah Hii ni kijeshi sana c mchezooo.
 
Mzazi mwenzako anakupenda lkn sasa huna kitu plus huna kazi .Unataka kumuangushia jumba bovu pekee yake akisema tuma hela ya kiliniki huna unabakia blah blah blah Kubali matokeo tu wewe potezea tu mpk mambo yako yakae sawa halfu uje tena vitani .Hata kisu cha ukili huna wkt mwenzako ana silaha zote , utaumia shauri yako.
 
shehe unaposema sina kitu unakosea kama mtu naweza kumuhudumia na kila kitu ni process hata ndoa ni process hauwez kukulupuka that's why nimekuja kupata ushaur then how comes unaniambia pesa ndo kila kitu ktk mahusiano inamaana ndoa ya bill gate isingekufa na ndoa na mahusiano mengine ya watu wenye pesa za ziada still up today zinayumba
 
Wewe kweli ni mtoto,

Sijui kwa kuwa huna ajira ndo maana umekuwa mnyonge kiasi hicho!!!!

Nashindwa nikushaurije

Kwa hiyo hata ukioa mwanamke akitokea ameleta bwana kwenye nyumba yako itabidi umchukue mkeo mkalale gesti?
broo nimekuja kuomba ushauri je wanaoomba ushaur ni watoto tu alafu ww unaelewa nn mtu anaposema maana ya ajira maana unaongea as if hauna akil
 
nimekuelewa but mwanamke sina maana sio kipaumbele changu saaana kuwa na wanawake wengi
 
Fanyia kazi ushauri huu mkuu
pesa sio kila kitu na hy pesa unayoongelea ipo nimekuja kutafuta the means on how to solve it? na mahusiano sio pesa tu unavyofikiria refer back kwa mahusiano ya watu wenye pesa unaowajua
 
broo nimekuja kuomba ushauri je wanaoomba ushaur ni watoto tu alafu ww unaelewa nn mtu anaposema maana ya ajira maana unaongea as if hauna akil
Namimi nikuulize swali mdogo wangu,

Umezaa naye mtoto,Kwa maana nyingine ni mkeo halali.

Leo anakuja dume nyumbani kwako unakumbuka nyumba unaenda kulala gesti!!!

Kwa hiyo utakimbia wangapi?

Ushauri

HUKUPASWA UKIMBIE HUO NI UDHAIFU MKUBWA

KWA HIYO ULIPOKIMBIA UKIONDOKA SI WATAENDELEA NA MAHUSIANO YAO?

USHAURI WANGU NI HUU,

ACHANA NAYE,ACHANA NAYE,ACHANA NAYE.

UTAKUJA KUJUTA BAADAE

Utapata UKIMWI

AU

Hilo dume litakuja kuwafuma licha ya kwamba wewe ndiye mwenye haki litakutoa kilema cha bure.

Wanawake wapo wengi.

ILA UKUMBUKE TU UKIONDOKA HILO JAMAA LITAENDELEA NAYE KUMGONGA HUYO MCHUMBA WAKO KAMA KAWAIDA.NA HILO JAMAA HUENDA LIKAWA LIMEATHIRIKA AU LINAWANAWAKE WENGINE HUKO KWINGINE.LITAKUUA KWA UKIMWI.

HATA HUYO MTOTO KAPIME DNA AU KAPIME GROUP LAKO LA DAMU NA LA MTOTO UKIKUTA NI GRUOP TOFAUTI UJUE AKILI KUMKICHWA.

Nimekucholea tamani mdogo wangu mpendwa japo umenitangaza sina akili ila sinaga kinyongo
 
Inamaana sehemu anayo kaa mwanamke nani analipa kodi, haiwezekani ukimbie hiyo nyumba kama mlipaji ni wewe
kodi nalipa mimi ila nlifanya kuondoka ili kuepuka ugomvi na mambo mengine
 
sio hvy ndugu yangu angalia ulivyocomment awali na sasa je unaweza ukasema ni mtu mmoja kaandika au wawil awal ulicomment kishabik na kizandik
 
Wewe jamaa umekataa kushauriwa, umeambiwa huyo demu ni kicheche na hana sifa za kufanywa mke na wadau wametoa point kuwa wewe bb2 tafuta hela ili uwe imara kupata mwanamke mwingine but unfortunately umekaza ubongo. Basi we komaa na huyo manzi then aje akuue kwa UKIMWI ama akuambukize STDs.
 
Umeshikwa mpaka akili. Unawezaje kuacha chumba unacholipia kodi ukaenda kulala lodge kwa kumuogopa hawala wa mwanamke wako?

Fanya hima ukamilishe taratibu zote za kumuoa na uhakikishe unakaa naye sio kumuachia wanaume wenzio wanamgeuza kama mpira wa kona
 
Huyo ni hawara yako na mahawara hawaachani Yan mwanamke mpk amekuzalia huyo hawez kunyima mbususu we jipgie Tu ukihitaji unaenda unapgia lodge kisha unaepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…