HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 892
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We nenda tu kabadili lakini tulishawaonya kuhusu single mother
Kubadili jina kuna process ndefu mno sidhani kama ataweza kirahisi.Hujaelewa swali yote hayo nayajua hapa mimi nataka watu wenye uelewa kuhusu jambo kama hili watoe maoni yao na kuhusu kuacha aje akutafute unaweza kuacha tu lakini hapa kinacho angaliwa ni kwa namna gani mtu anaweza kuzuia au ni kwanini hii iwezekane je mamlaka za vyeti haziko makini au shida ni nini
Nimecheka kwa sauti...We nenda tu kabadili lakini tulishawaonya kuhusu single mother
Nakazia.Kuna ualakini Kama huyo mtoto Ni wako.
Ndivyo ninavyoona hata mimi.Mama wa mtoto anataka abadilishe jina amuite mtoto kwa jina la Baba yake halisi we unang'ang'ania cheti kisibadilishwe libaki jina lako wakati siye baba mtoto
Andika "subiri" na siyo "subili" hapa ni jf na siyo fb.Ndio maana nakwambia ukikua utaacha kijana subili subili kwanza pia jifunze kujibu swali husika hapa ni JF sio FB
Kuna ualakini Kama huyo mtoto Ni wako.
Kwaio huu ndio mchango wako kwenye mada husika [emoji23]
Yani kuna watu hawaelewi kabisa wanashusha hadhi ya JFHahaha kazi kweli kweli[emoji1] ulichoulizwa sio unachojibiwa ila ndo wa tz wenzetu twende nao hivo hivo tu tutafika
Asante kwa mchango wako watu wengi watajifunza kupitia weweKubadili jina kuna process ndefu mno sidhani kama ataweza kirahisi.
Ni mikwara tu hiyo maana kufuatilia Deedpol sio jambo rahisi anaweza kuishia njiani.
Ushauri mzuri sana nashukuru kwa mchango wako.Hata usimjali... muache abadilishe, tafuta walipo kimya kimya na hakikisha mtoto anakutambua na uwe na mpango mkakati wa kumtimizia mahitaji kadiri ya uwezo wako mwanao (KAMA UNA UHAKIKA NI WAKO)
Kwasababu bado uko hai basi jifunze hapa ili siku vikifika kwako uwe na uzoefu.vitisho vya namna hio hua vinapatikana wapi?
sijawahi aseeeee
Wanawake wanajua kuwajaza Sumu watoto asitegemer kutafutwa labda kama mpunga upoKama mtoto ni wako unahangaika nini?
Akimbadili jina atakuwa amembadili DNA?
Usihangaike naye, mtoto akikua atakutafuta.
Umemalizia vizuri sana mkuu. ukiona mwanamke kafikia hatua hiyo ujue jamaa hajishughukishi na mtotoUfafanuzi kuhusu cheti cha mwanzo, mifumo yetu bado haipo computerized. Mwanamke anaweza kwenda Rita akadai amepoteza cheti cha kuzaliwa cha mtoto, ataambiwa utaratibu wa kufuata police report etc, atajaza fomu upya akifika sehemu ya majina atabadili jina la mwisho aondoe lako aweke atakalojisikia yeye, wakiwa makini watamuuliza na atatoa sababu na watamkubalia na atapata cheti kipya ndani ya siku 7, na wasipokuwa makini kumuuliza bado atapata cheti kipya ndani ya siku 7. Hakuna sheria inayomzuia mama kubadilisha jina la mtoto na kubadilisha cheti. Inaruhusiwa. Tena kama hajaandikishwa shule ni rahisi zaidi. Pia kisheria hata ukiwa mtu mzima unaruhusiwa kubadilisha jina mojawapo kwenye process ni kwenda kuapa mahakamani, ila watu wanakwepaga usumbufu sababu ya jina kusambaa kwenye vyeti,vitambulisho nk. USHAURI:, Kama hutaki mama wa mwanao abadili jina lake njia rahisi ni moja tu, tuma ela ya matumizi kila mwezi hata kama ni ndogo, hata akiolewa na mtu mwingine hawezi kubadili, vinginevyo awe na asili ya ushetani.
Ni rahisi sana unui tuKubadili jina kuna process ndefu mno sidhani kama ataweza kirahisi.
Ni mikwara tu hiyo maana kufuatilia Deedpol sio jambo rahisi anaweza kuishia njiani.
Ulimuonya kivipi wakati yeye ndo kamtengeneza huyu single mother? Au alikuwa na mtoto mwingine kabla?We nenda tu kabadili lakini tulishawaonya kuhusu single mother