Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

😂😂😂 Pole sana inaonekana wewe ulishawai kulea mtoto sio wako sasa io Trauma ime athiri mfumo wako wa kufikiri usizani kila jambo la hivi eti anakua sio mkuu alafu DNA nilitumia ya asili kabisa kwaio ondoa shaka
Sawa mkuu
 
Ogea chumvi upunguze gundu yaan had mkeo anakuchukia hatar
 
Watakuja watu wengi kukushauri ila utu wangu wa ndani unasema hivi

MTOTO SIO WAKO YAANI UMETOMBEWA.

Hadi vipofu wa jf watasoma vizuri.
 
Back
Top Bottom