Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Sawa mkuu😂😂😂 Pole sana inaonekana wewe ulishawai kulea mtoto sio wako sasa io Trauma ime athiri mfumo wako wa kufikiri usizani kila jambo la hivi eti anakua sio mkuu alafu DNA nilitumia ya asili kabisa kwaio ondoa shaka