Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

Mtoto unamuhudumia vizuri?
 
Hapa hakuna mtu kutoka Rita au wizarani kuelezea taratibu za kumbadili mtoto jina la baba? Ili tujue kama zimekiukwa! Na pili kama amebadili jina la baba na anafaidika na bima ya afya wakati huo yeye siyo mtegemezi wa kisheria hiyo si ndio inaitwa fraud?
 
Huyo mtoto anakua sio wako ndo maana kwnza kamficha kuna baba Ake mwingine ambae hua anamuona. Pili.. huyo sio wako kwann abadilishe jina kwann asiliache hivo hivo? Anataka kuweka la baba ake wa ukwel ndo maana kakukimbia…. Tatu itakua Haufanani nae wala Hafanan na ndgu ako yoyote….. jiongeze…. Kuanzia leo Amin sio mtoto wako hadi pale utapompima DNA…
 
Wewe umeelewa vizuri sana swali langu yaani hapo ndio nahitaji ufafanuzi zaidi.
 
Nakupa pole sana mkuu ni vile siwezi kutuma picha ya mtoto mitandao lakini yote uliyo ongea ni uongo mtupu soma maoni ya mdau mmoja hapo juu yeye ndio ameelewa swali wewe naona bado hujaelewa swali
 
Kuna namna wanaume tumekua midebwedo.
Kama unahudumia mwanao anabadilisha vipi??
 
pole sana mkuu changamoto unayokutana nayo na mimi pia nakutana nayo
ila yangu ni zaidi ya yako
 
Ulishatombewa wewe, huyo mkeo anajuwa fika mtoto si wako na usikute baba wa huyo mtoto anamtaka mwanaye pamoja na huyo mkeo waishi pamoja. Pima DNA, ukikuta si wako tupilia mbali huyo mkeo.
 
Ulishatombewa wewe, huyo mkeo anajuwa fika mtoto si wako na usikute baba wa huyo mtoto anamtaka mwanaye pamoja na huyo mkeo waishi pamoja. Pima DNA, ukikuta si wako tupilia mbali huyo mkeo.
Umepotea pakubwa sana sema ni vile hujaelewa swali ningependa ujibu swali husika na sio kuongea kuhusu mambo ya kufikiria kwasababu hakuna unacho kijua ndugu mtoto unazani angekua sio wangu mwanamke angehangaika ata kunitafuta anipe io taarifa ya vitisho sasa ila jua tu mtoto ni wangu ila zilitokea sababu ambazo ni nje ya uwezo kupelekea kutengana na kuhusu kutombewa ni kawaida tu mbona tumeoa na tunakula wake za watu usikute ata wakwako anapigwa alaf Fresh tu.
 
Umempima huyo mtoto DNA? Usikute unalea mzigo wa mwanamme mwenzako.
 
Umempima huyo mtoto DNA? Usikute unalea mzigo wa mwanamme mwenzako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole sana inaonekana wewe ulishawai kulea mtoto sio wako sasa io Trauma ime athiri mfumo wako wa kufikiri usizani kila jambo la hivi eti anakua sio mkuu alafu DNA nilitumia ya asili kabisa kwaio ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…