MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Sasa kwenye malezi ya mtoto hasa akiwa mdogo inabidi uyavumilie yapite tu.Nilipanga kumuona hata wazazi wake niliwaambia hilo, lakini alifanya mambo ya ajabu ambayo hata ingekuwa ni wewe usingekubali kuoa mwanamke wa aina hiyo.
Huko hakuna hizo shule, ni kijijini.KAma una malengo ya mtoto uyo asome shule nzuri (Bus la njano) basi tuma ada ataftiwe za huko sio mpka aje Dar
Kweli mkuu, lakini siku zinakwenda na mtoto anakua.Sasa kwenye malezi ya mtoto hasa akiwa mdogo inabidi uyavumilie yapite tu.
Mtoto kutoka kwa mama yake angalau awe amemaliza primary. Kamtafutie shule huko huko.Kweli mkuu, lakini siku zinakwenda na mtoto anakua.
Mimi siwezi mtafutia shule huko, najua hakuna shule nzuri hata moja.Mtoto kutoka kwa mama yake angalau awe amemaliza primary. Kamtafutie shule huko huko.
Sawa. Huyo mtoto utambomoa kuliko unavyofikiria.Mimi siwezi mtafutia shule huko, najua hakuna shule nzuri hata moja.
Akitafta wilayani itakuepp. Jaribu kuwa muelewa na kujishusha wakati mwngne kaa na msma watot muyajenge Beef sio nzuri life is shortHuko hakuna hizo shule, ni kijijini.
Mimi sina beef naye, tunaongea vizuri tu, hata hili swala alipokataa wala hatuja zozana, ila nilimwambia tu huko atamsomesha yeye.Akitafta wilayani itakuepp. Jaribu kuwa muelewa na kujishusha wakati mwngne kaa na msma watot muyajenge Beef sio nzuri life is short
Means tumeharibu au?Muwe mnamwaga nje, kama ndom hamziwezi.....
Nitambomoa mimi au mama yake? Akimpeleka kwa Baba mwingine ndyo atajenga au kubomoa?Sawa. Huyo mtoto utambomoa kuliko unavyofikiria.
Kwani SAUTI YAKO VOLUME YAKE NI MWISHO HAPO? Please usiwe ZUZU kiasi hicho kwa mwanamke ambaye hata ndoa yenyewe bado. Au siyo damu yako? Kama ni damu yako kwanini unakuwa rahisi rahisi hivyo?Habarini ndugu
Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue.
Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto aanze shule, na natamani mwanangu arudi Dar asome shule nzuri na ya kisasa.
Mzazi mwenzangu anadai hawezi kuruhusu hilo, ni afadhali mtoto abaki kijijini asome shule za kawaida (serikali). Nikamwambia utamsomesha wewe huko, mimi nilitaka aje Dar asome shule nzuri na tofauti na hapo sitahusika na maswala ya shule endapo atasoma tofauti na nilivyotaka.
Nadhani labda bado anachuki au kinyongo dhidi ya familia yangu, lakini hajui Elimu bora ina faida kwa mtoto na maisha yake ya baadaye, sio mimi wala yeye.
Je ni sahihi nikikataa kutoa huduma za shule endapo atasoma kijijini? Kwani lengo langu lilikuwa aje asome Dar, akae na Bibi yake (Mama yangu) na yupo tayari kwa hilo.
pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Kugharamika sio tatizo, ila Urithi wa Elimu ni bora kuliko urithi wa nyumba na magari.Mpongeze sana, asome huko huko hautogaramika sana; kumbuka bado unamiaka 30 ya kumjengea maisha huyo mtoto.
Hakikisha umemuwekea ata kiwanda kidogo cha kupukuchua mahindi. Maisha si elimu tu, na mali pia ni muhimu kumuachia.
Waliosoma sasa hivi hawana ajira.
Hizo ni techniques tu, hiyo ni damu yangu na lazima niwe karibu nayo kwa gharama yoyote.Kwani SAUTI YAKO VOLUME YAKE NI MWISHO HAPO? Please usiwe ZUZU kiasi hicho kwa mwanamke ambaye hata ndoa yenyewe bado. Au siyo damu yako? Kama ni damu yako kwanini unakuwa rahisi rahisi hivyo?
Umeongea ukweli anaozungukazunguka,mama hataki mwanae alelewe nje ya yeye....na huyu hataki kutuma pesa ya matumizi....maana hata aliko mama lazima Kuna nursery school nzuri...hataki kutuma matumizi.Kwanini mmetengana nazani tatizo lipo hapa nyinyi sio kitu kimoja mmetengana alafu mme zaa lazima kuwe na vuta nikuvute hapo na sio kwamba mwenzako hqtaki mtoto apate elimu bora
Ni mwongo... uchoyo unamsumbuaTuanzie hapa:
Ni nani aliekudanganya kwamba serikalini haipatikani elimu Bora (nzuri) Kwa ajili ya mwanao?
Matumizi natuma bila hata kuulizwa, pia ni kweli nataka kukaa karibu na mwanangu.Umeongea ukweli anaozungukazunguka,mama hataki mwanae alelewe nje ya yeye....na huyu hataki kutuma pesa ya matumizi....maana hata aliko mama lazima Kuna nursery school nzuri...hataki kutuma matumizi.
Tuma pesa atasoma kwa mama yake....la sivyo maamuzi utakayoamua ni sahihi pia,usitume chochote... watoto wanakua mkuu🤣🤣🤣🤣Kugharamika sio tatizo, ila Urithi wa Elimu ni bora kuliko urithi wa nyumba na magari.
Mhamishe mama na mtoto....umri wa mtoto ni wa kukaa na mama mzaziMatumizi natuma bila hata kuulizwa, pia ni kweli nataka kukaa karibu na mwanangu.
Kuhusu nursery, niamini mimi nakuambia, huko HAKUNA hata moja.