Pole sana. Ila nahisi yeye bado anahitaji kuwa na wewe. Mtoto inaweza kuwa njia ya kukufikia wewe pengine ipo siku utamfikiria ndio maana hataki mtoto akaye mbali naye.Sio tu alitenda kosa, bali niligundua ana nia mbaya juu yangu, mengine siwezi kusema hapa, sio tu alinikwaza mimi, bali hata mama yangu alimkosea sana
Ni ngumu kusamehe mtu aliye mkosea heshima mzazi wako, hasa mama.
Kweli bado anahitaji ukaribu wangu, lakini mimi siwezi kurudi nyuma. Mtoto nasubiri angalau afikishe 5yrsPole sana. Ila nahisi yeye bado anahitaji kuwa na wewe. Mtoto inaweza kuwa njia ya kukufikia wewe pengine ipo siku utamfikiria ndio maana hataki mtoto akaye mbali naye.
Basi, kwa umri wa mtoto bado ni mdogo inabidi umngojee akue. Hapo hata kisheria itakuruhusu kumchukua na umsomeshe shule ambazo utahitaji.
Karibu sana!Kweli bado anahitaji ukaribu wangu, lakini mimi siwezi kurudi nyuma. Mtoto nasubiri angalau afikishe 5yrs
Nashukuru kwa ushauri wako makini kabisa.
Kwanini akukatae na mwanzo alikupokea vizuri? Nini ameona kutoka kwako?Yaani mama yako anikatae ila amtake mtoto wangu
Never ever siwapi mtoto wangu.
Mkuu nani tena huyo anajiita Transman?Wewe inakuwaje unajiita Transman? Unajua maana ya hilo neno chafu?
Wewe na mwenza wakoNani amesema hawezi kulea?
Wapi nimesema siwezi kulea?Wewe na mwenza wako
Kwanini umpelekee mama kama unaweza kulea??Wapi nimesema siwezi kulea?
Mimi naishi pekeyangu, kwa mama ni sehemu sahihi kwake.Kwanini umpelekee mama kama unaweza kulea??
Huo ujinga labda wewe ndio unao.....
Mama yake ana mipango yake, lakini naona kabisa anaelekea kukubaliana na hilo, ni swala la muda tu.....Ushauri wangu, kama hutaki mtoto asome huko unakodai ni kijijini basi walete mjini mtoto na mama watafutie nyumba mtoto asome akiwa kwa mama yake.
Akosee yeye halafu awe na chukiSababu ya kutengana ni makosa aliyofanya yeye, anayajua na kweli alikosea sana....
Lakini hatakama bado anachuki, lazima atambue lengo ni kwa faida ya mtoto wala sio mimi wala yeye.
Kwani hujui kwamba hatia (guilt) au shame huzaa chuki?Akosee yeye halafu awe na chuki
Nilikua sijuiKwani hujui kwamba hatia (guilt) au shame huzaa chuki?
Now you know MamyNilikua sijui
mim naona ww ndy unashida halafu pia unaubinafsi.Hatuna tena mahusiano, kila mtu anafanya mambo yake lakini bado huduma natoa, na shule ni jukumu langu ila kama akikataa atamsomesha yeye.