Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Sio tu alitenda kosa, bali niligundua ana nia mbaya juu yangu, mengine siwezi kusema hapa, sio tu alinikwaza mimi, bali hata mama yangu alimkosea sana

Ni ngumu kusamehe mtu aliye mkosea heshima mzazi wako, hasa mama.
Pole sana. Ila nahisi yeye bado anahitaji kuwa na wewe. Mtoto inaweza kuwa njia ya kukufikia wewe pengine ipo siku utamfikiria ndio maana hataki mtoto akaye mbali naye.

Basi, kwa umri wa mtoto bado ni mdogo inabidi umngojee akue. Hapo hata kisheria itakuruhusu kumchukua na umsomeshe shule ambazo utahitaji.
 
Kweli bado anahitaji ukaribu wangu, lakini mimi siwezi kurudi nyuma. Mtoto nasubiri angalau afikishe 5yrs

Nashukuru kwa ushauri wako makini kabisa.
 
Wewe inakuwaje unajiita Transman? Unajua maana ya hilo neno chafu?
 
Hii tabia ya watu kuzaa wakifarakana wanaanza kupeleka watoto kwa bibi nadhani si jambo sahihi. Wazazi wa mtoto mpo hai, huna sababu ya kumpeleka mtoto kwa bibi kwanza mtoto mwenyewe bado mdogo. Ushauri wangu, kama hutaki mtoto asome huko unakodai ni kijijini basi walete mjini mtoto na mama watafutie nyumba mtoto asome akiwa kwa mama yake.
 
Ushauri wangu, kama hutaki mtoto asome huko unakodai ni kijijini basi walete mjini mtoto na mama watafutie nyumba mtoto asome akiwa kwa mama yake.
Mama yake ana mipango yake, lakini naona kabisa anaelekea kukubaliana na hilo, ni swala la muda tu.....
 
Sababu ya kutengana ni makosa aliyofanya yeye, anayajua na kweli alikosea sana....

Lakini hatakama bado anachuki, lazima atambue lengo ni kwa faida ya mtoto wala sio mimi wala yeye.
Akosee yeye halafu awe na chuki
 
Back
Top Bottom