De Opera
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 780
- 1,664
Pole sana. Ila nahisi yeye bado anahitaji kuwa na wewe. Mtoto inaweza kuwa njia ya kukufikia wewe pengine ipo siku utamfikiria ndio maana hataki mtoto akaye mbali naye.Sio tu alitenda kosa, bali niligundua ana nia mbaya juu yangu, mengine siwezi kusema hapa, sio tu alinikwaza mimi, bali hata mama yangu alimkosea sana
Ni ngumu kusamehe mtu aliye mkosea heshima mzazi wako, hasa mama.
Basi, kwa umri wa mtoto bado ni mdogo inabidi umngojee akue. Hapo hata kisheria itakuruhusu kumchukua na umsomeshe shule ambazo utahitaji.