Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Kwq mama yake ataenda akitaka, wangapi wameishi mbali na mama zao na wamekuwa vizuri tu.
Kwahiyo unataka na Mwanao awe miongoni mwa waloishi mbali na mama??? Sasa kama ulikuwa na majibu tayari umekuja hapa kufanyaje???
Kama unampenda na kujali Afya ya Mtoto wako basi utafanya kilichosahihi. Kama humpendi utapuyanga vyovyote vile
 
Kama unampenda na kujali Afya ya Mtoto wako basi utafanya kilichosahihi. Kama humpendi utapuyanga vyovyote vile
Nampenda na kumjali najitahidi kufanya kilicho sahihi, na mojawapo ni kumpatia Elimu bora.
 
Serikalini ni elimu ya walala hao ambao elimu wanayopewa haiwezi kuwafanya wakawa na ushindani duniani zaidi ya kuwa daraja la kutumiwa na watawala.Ndiyo maana mtu yeyote mwenye uwezo kuanzia DC,Ded,Ras,mbunge,waziri,rais au mfanyabiashara mkubwa huwezi kumwona mwanaye anasoma makapi ya elimu(shule za serikali).Kwa Tz shele za serikali ni takataka ndiyo maana Kila siku Ccm inashinda Kwa sababu shule zinazalisha mazezeta ambayo hayajui chochote kuhusu haki zao.
Wanaosoma Serikali na private wote hukutana UDSM, SUA, CuoM Usisahau hili
 
Mkuu kama upo vizuri tafuta wakili apambane umchukue mtoto hata ukishindwa bado utapata haki zote kisheria, vinginevyo huyo mwanamke atamtumia mtoto kama fimbo ya kukuadhibu kisaikolojia
Ona kiazi mwingine huyu Dah,
Hizi notion za ajabu zinawafelisha sana wakuu
 
Mkuu kama upo vizuri tafuta wakili apambane umchukue mtoto hata ukishindwa bado utapata haki zote kisheria, vinginevyo huyo mwanamke atamtumia mtoto kama fimbo ya kukuadhibu kisaikolojia
Ushauri mzuri mkuu, lakini sitaki kufikishana mahakamani kwa sababu hii, naamini tutayamaliza bila vita au uhasimu.
 
Sasa hiyo ni shida mkuu? Hakuna ndugu yake anayeweza kukaa na mtoto, mimi pia sio kama nataka kukaa naye, ila akae na Bibi yake then asome shule nzuri.
Ni shida kwa mama yake ndio maana anagoma. Huyu mzazi mwenzio ana level gani ya elimu? Maana tuelewe kwanza.
 
Sio kulialia tu, hata nikitaka kupiga mayowe uhuru huo ninao, nimeandika kama wengine wanavyo andika...

Wewe ni nani unipangie sehemu ya kusema, au umevurugwa na changamoto za maisha unajaribu kupooza bichwa kwenye thread yangu?
Sikupangii, nakuambia unaji contradict. Hujui unataka nini, hujui unafanya nini.

Ndiyo maana unaishia kupata misala kama hii.

Umeharibu, nikiwaambia wengine wasiharibu kama wewe unasema hapo poa tu.

Hata somo la maisha yako mwenyewe hutaki kujifunza.
 
Ukishaanza kuwa na habari za mzazi mwenzako yuko na mtoto hamuishi panoja ushafeli malezi ya mtoto tayari.

Huyo mtoto ushamuweka katika disadvantage ya kutoishi na baba yake hata akienda shule nzuri.

Vijana jiepusheni na hali hii.
Unashauri vijana wafanyaje
 
Back
Top Bottom