Dah wee Kijana Mungu anakuona😂😂😂😂Zaa na mwanamke mwingine kupata mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wee Kijana Mungu anakuona😂😂😂😂Zaa na mwanamke mwingine kupata mtoto
Kwahiyo unataka na Mwanao awe miongoni mwa waloishi mbali na mama??? Sasa kama ulikuwa na majibu tayari umekuja hapa kufanyaje???Kwq mama yake ataenda akitaka, wangapi wameishi mbali na mama zao na wamekuwa vizuri tu.
Yeye hataki kuzaa tena na mzazi mwenzieDah wee Kijana Mungu anakuona😂😂😂😂
Nampenda na kumjali najitahidi kufanya kilicho sahihi, na mojawapo ni kumpatia Elimu bora.Kama unampenda na kujali Afya ya Mtoto wako basi utafanya kilichosahihi. Kama humpendi utapuyanga vyovyote vile
Ndio chaguo lako hiloSiwezi abadani asilani....
We kiazi kweli an😂😂😂😂Nampenda na kumjali najitahidi kufanya kilicho sahihi, na mojawapo ni kumpatia Elimu bora.
Mimi saivi focus ipo kwa mtotoNdio chaguo lako hilo
Hilo jina la Kiazi ni jamaa yangu mmoja yupo pale maeneo ya Uhasibu.We kiazi kweli an😂😂😂😂
Nawewe umerithiHilo jina la Kiazi ni jamaa yangu mmoja yupo pale maeneo ya Uhasibu.
Mimi ni kiredio jr, nimerithi Hilo jina kutoka kwa mzee wangu.Nawewe umerithi
Sawa sibishi Tena MkuuMimi ni kiredio jr, nimerithi Hilo jina kutoka kwa mzee wang
Wanaosoma Serikali na private wote hukutana UDSM, SUA, CuoM Usisahau hiliSerikalini ni elimu ya walala hao ambao elimu wanayopewa haiwezi kuwafanya wakawa na ushindani duniani zaidi ya kuwa daraja la kutumiwa na watawala.Ndiyo maana mtu yeyote mwenye uwezo kuanzia DC,Ded,Ras,mbunge,waziri,rais au mfanyabiashara mkubwa huwezi kumwona mwanaye anasoma makapi ya elimu(shule za serikali).Kwa Tz shele za serikali ni takataka ndiyo maana Kila siku Ccm inashinda Kwa sababu shule zinazalisha mazezeta ambayo hayajui chochote kuhusu haki zao.
Ona kiazi mwingine huyu Dah,Mkuu kama upo vizuri tafuta wakili apambane umchukue mtoto hata ukishindwa bado utapata haki zote kisheria, vinginevyo huyo mwanamke atamtumia mtoto kama fimbo ya kukuadhibu kisaikolojia
Uuuuuuh, upewe maua yao👏👏👏👏Wanaosoma Serikali na private wote hukutana UDSM, SUA, CuoM Usisahau hili
Ushauri mzuri mkuu, lakini sitaki kufikishana mahakamani kwa sababu hii, naamini tutayamaliza bila vita au uhasimu.Mkuu kama upo vizuri tafuta wakili apambane umchukue mtoto hata ukishindwa bado utapata haki zote kisheria, vinginevyo huyo mwanamke atamtumia mtoto kama fimbo ya kukuadhibu kisaikolojia
Mkuu kwanini unapenda kuita watu kiazi, au na wewe ni Boga?Ona kiazi mwingine huyu Dah,
Hizi notion za ajabu zinawafelisha sana wakuu
Hapana madam, lengo ni kumpa mtoto elimu nzuri kwa manufaa yake ya baadaye.
Ni shida kwa mama yake ndio maana anagoma. Huyu mzazi mwenzio ana level gani ya elimu? Maana tuelewe kwanza.Sasa hiyo ni shida mkuu? Hakuna ndugu yake anayeweza kukaa na mtoto, mimi pia sio kama nataka kukaa naye, ila akae na Bibi yake then asome shule nzuri.
Sikupangii, nakuambia unaji contradict. Hujui unataka nini, hujui unafanya nini.Sio kulialia tu, hata nikitaka kupiga mayowe uhuru huo ninao, nimeandika kama wengine wanavyo andika...
Wewe ni nani unipangie sehemu ya kusema, au umevurugwa na changamoto za maisha unajaribu kupooza bichwa kwenye thread yangu?
Unashauri vijana wafanyajeUkishaanza kuwa na habari za mzazi mwenzako yuko na mtoto hamuishi panoja ushafeli malezi ya mtoto tayari.
Huyo mtoto ushamuweka katika disadvantage ya kutoishi na baba yake hata akienda shule nzuri.
Vijana jiepusheni na hali hii.