kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #181
Kweli mimi nina shida, na shida yangu ni kuishi karibu na mwanangumim naona ww ndy unashida halafu pia unaubinafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mimi nina shida, na shida yangu ni kuishi karibu na mwanangumim naona ww ndy unashida halafu pia unaubinafsi.
Iyo code mbona rahisi labda tu unajizima Data...Mama mtoto anataka kama ni mtoto kuja Dar aje na yeye mkae wote.Habarini ndugu
Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue.
Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto aanze shule, na natamani mwanangu arudi Dar asome shule nzuri na ya kisasa.
Mzazi mwenzangu anadai hawezi kuruhusu hilo, ni afadhali mtoto abaki kijijini asome shule za kawaida (serikali). Nikamwambia utamsomesha wewe huko, mimi nilitaka aje Dar asome shule nzuri na tofauti na hapo sitahusika na maswala ya shule endapo atasoma tofauti na nilivyotaka.
Nadhani labda bado anachuki au kinyongo dhidi ya familia yangu, lakini hajui Elimu bora ina faida kwa mtoto na maisha yake ya baadaye, sio mimi wala yeye.
Je ni sahihi nikikataa kutoa huduma za shule endapo atasoma kijijini? Kwani lengo langu lilikuwa aje asome Dar, akae na Bibi yake (Mama yangu) na yupo tayari kwa hilo.
vp kuhusu kuishi na mama watotoKweli mimi nina shida, na shida yangu ni kuishi karibu na mwanangu
Mama wa mtoto alisema yeye ana mipago yakevp kuhusu kuishi na mama watoto
Alishasema ana mipango yake, hatuwezi kukaa pamojaIyo code mbona rahisi labda tu unajizima Data...Mama mtoto anataka kama ni mtoto kuja Dar aje na yeye mkae wote.
Kama ni hivyo basi anajali maslahi yake na si mtoto, ndyomaana hajali kuhusu umuhimu wa Elimu nzuri kwa mtotoWanawake wengi wanawatumia watoto kama kitega uchumi hivyo ukimchukua atazikosa hata hizo hela ndogo ndogo na hicho ndio kitu wanawake wengi wanawaza.
Yes dearNow you know Mamy
Kwani huko mkoani hakuna shule nzuri ya private mtafutie hiyo hiyo kwa sasa huku ukiwaza baadaeHabarini ndugu
Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue.
Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto aanze shule, na natamani mwanangu arudi Dar asome shule nzuri na ya kisasa.
Mzazi mwenzangu anadai hawezi kuruhusu hilo, ni afadhali mtoto abaki kijijini asome shule za kawaida (serikali). Nikamwambia utamsomesha wewe huko, mimi nilitaka aje Dar asome shule nzuri na tofauti na hapo sitahusika na maswala ya shule endapo atasoma tofauti na nilivyotaka.
Nadhani labda bado anachuki au kinyongo dhidi ya familia yangu, lakini hajui Elimu bora ina faida kwa mtoto na maisha yake ya baadaye, sio mimi wala yeye.
Je ni sahihi nikikataa kutoa huduma za shule endapo atasoma kijijini? Kwani lengo langu lilikuwa aje asome Dar, akae na Bibi yake (Mama yangu) na yupo tayari kwa hilo.
Umemzalisha mtoto wa watu then unategemea mama yako ndiyo akulelee huyo mtoto?Habarini ndugu