Wakuu,
Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi...
====
Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo๐๐๐).....