Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Umekuja kama unaomba ushauri lakini coments zako zinaonyesha unao msimamo wako na unacho cha kumshauri huyo mzee wako.
 
Mwambie mzee wako amuache, huyo ni mtu mzima saiz. Wakati wake wa malezi na kumpeleka anavotaka yeye umekwisha. Sasa ni wakati wa huyo bibie kutumia yale mliomuelekeza miaka yote. Muacheni afanye maisha yake keshakuwa huyoo, eeh,.

Tafuta uzi wangu mmoja unaitwa "JE UNAWEZA KUMBADILI TABIA MTU MZIMA?" πŸ€—
 
Mwambie tunda likisha kuiva sharti kulipeleka sokoni vinginevyo litakuozea
 
Ukweli usemwe ,Baba mdogo yuko sahihi na wewe simama na Baba mdogo na kukataa hiyo mahari na kumuonya Dada yako mpe hizi hoja

Na kesho na leshokutwaa mtamuweka mdogo wenu kwenye migogoro isiyoishaa

nakupa tuu hii taarifa Waisilamu ni wa baguzii na huyo dada yenu atatengwe na lazima asilimuu.

Na mwishowe ataachwaa ,simama na baba mdogo ,bora hata awaleteee dhehebu lingine lakini sio hawa akina mkojanii.


Lapili mke wa pili


Latatu mtaanza kuona dada yenu ana majini

Atawasumbua sanaaaaaaaaaa

Hadi mkomeee
 
Hivi Mkristo kuolewa na Muislam unakuwa umejizima data au? Jaribu au test zari binti wa kiislamu wa itikadi kali utake kumuoa uone watakavyokinukisha! Mungu wa Wakristo na mungu wa waislam tofauti! Mmoja yuko juu ya mwingine! Nikiwa na maana mmoja alimuhasi muumba wake naye kujitengenezea ufalme hapa duniani na Biblia iko wazi! Mtoto akililia wembe mwache ila mahari asichukue!
 
Hapa Tanzania dini ni suala la umezaliwa na nani full stop. Hata baba yako angezaliwa na Waislam angekuwa Muislam. Sasa mtu asijione amewin au asimuone mwingine ameloose wakati hakuna juhudi yoyote uliyofanya kuwa Muislam au Mkristo.
 
Labda Abdul ameitoa ile kitu.....asikilizwe tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…