Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Ukweli usemwe ,Baba mdogo yuko sahihi na wewe simama na Baba mdogo na kukataa hiyo mahari na kumuonya Dada yako mpe hizi hoja

Na kesho na leshokutwaa mtamuweka mdogo wenu kwenye migogoro isiyoishaa

nakupa tuu hii taarifa Waisilamu ni wa baguzii na huyo dada yenu atatengwe na lazima asilimuu.

Na mwishowe ataachwaa ,simama na baba mdogo ,bora hata awaleteee dhehebu lingine lakini sio hawa akina mkojanii.

Lapili mke wa pili

Latatu mtaanza kuona dada yenu ana majini

Atawasumbua sanaaaaaaaaaa

Hadi mkomeee
Tunakushukuru Sana mzee majini yatamuandama
 
Mwambie mzee wako amuache, huyo ni mtu mzima saiz. Wakati wake wa malezi na kumpeleka anavotaka yeye umekwisha. Sasa ni wakati wa huyo bibie kutumia yale mliomuelekeza miaka yote. Muacheni afanye maisha yake keshakuwa huyoo, eeh,.

Tafuta uzi wangu mmoja unaitwa "JE UNAWEZA KUMBADILI TABIA MTU MZIMA?" 🤗
 
Tunakushukuru Sana mzee majini yatamuandama
Ila bro kam sister yupo willing kuolew na huyo mtu si vzr san kugomea kabis anawez akaamua kuwakomoa kwa kubeba mimba azalie nyumbn au mtamfukuza Je akiamua atoke nyumbn akaishi nae bila matakwa yenu je mtaenda kushtak kuwa kapotea au mtamsusa
 
Swla la kubebeshwaw mimba Kisha akimbiwe tumekubali ni mtu anaye jitegeeme hatuzani kama ataomba msaadaa kwetu cc ova
 
Chunguzeni vizuri anaweza kua mke wa pili huyo akaja kugundua badae keshafunga NDOA na asipokua mke wa pili basi mbeleni akishachuja ataletewa kigori mdogo amsaidie majukumu na ataitwa mke mkubwa😁

Hao jamaa ni watu wa tamaa Sana
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Mwambieni atoroke akaolewe.Halafu mumpe miaka miwili tu.Sipendi mtu asiyesikia maonyo.
 
Anatakiwa akubali posa hiyo tena na yeye mwenyewe anatakiwa asilimu.
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Watu wasio amini? Lakini waisalamu wanaamini mbona
 
Ila mkuu me naona mngempa tuu huyo jamaa huyo binti yenu huenda ndg yako anakataa pema pabaya panamuita
 
Chunguzeni vizuri anaweza kua mke wa pili huyo akaja kugundua badae keshafunga NDOA na asipokua mke wa pili basi mbeleni akishachuja ataletewa kigori mdogo amsaidie majukumu na ataitwa mke mkubwa😁

Hao jamaa ni watu wa tamaa Sana
Tamaa unayojua wewe ni mtu kuowa mke mwingine tu.
Vipi Wakristo wenye michepuko nje?
 
Karibia wote tumezaliwa kwenye utumwa wa dini za kigeni.. zimekuwa kama zetu vile ila ukweli ni kwamba sisi ni watumwa tu wa dini na tamaduni za wazungu na waarabu na kujitoa huko yahitaji utimamu wa akili.

Ona hawa vijana waafrika wawili wamependana lakini wanazuiliwa kuoana kwa kuwa watumwa waliowalea wanaogopa kukasirisha miungu ya mabwana zao; Yesu na Muddy.
Waafrika tuache ujinga, tuamke. Hao vijana washauriwe waoane tu kwa tamaduni za kwetu.
'fucx your religions.
 
Mzee atakubali tu ngoja tufanye kisomo hapa next week atatuita mwenyewe
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Yupo sahihi kutoka dini inayokataa majini na kuyaita mashetani uende dini inayo wapeti peti majini, kuishi nayo ,kuswali nayo na kuyatumia?
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Huyo katupiwa majini, akili aliyonayo si yake ni majini na mapepo toka kwa ABDULI. Mwombeeni na mumpeleke kwenye maombi ili mapepo ya ABDUL yaondoke. Vinginevyo mtampoteza, mi nakwambia.
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
huyo binti ni mjinga sana, na atajuta maisha yake yooote. hakuna mwanamke aliwahi kubadili dini kuwa muislam asijutie baadaye, na huwa wanaishia kuwa makopo kichwani utafikiri akifika kule huwa anapakua ubongo wote halafu wanaweka hewa. nina ndugu zangu kadhaa walishawahi kubadili dini, wakazaa watoto na yakawashinda wakarudi na hawajawahi kutengamaa, wawili walikufa masingle mother, mmoja ndio anaishi kama ana laana tu. naona sijui walimsomea kisomo au walimpulizia harufu mbaya sijui.
 
Dah huyo mnampoteza mkiona, anakwenda Jehanum ya duniani na ahera.
Kuna vitu huwa naogopa sana ikitokea nimeskia ndugu amejiunga aidha uislamu, Freemason au ushoga yaani itaniuma sana..... brazaj
 
Back
Top Bottom