Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Tamaa unayojua wewe ni mtu kuowa mke mwingine tu.
Vipi Wakristo wenye michepuko nje?
Kwa mkristo ambae ameoa au kuolewa na anamichepuko na anajiona Yupo kwenye NDOA huyo anakudanganya Mkuu

NDOA ya Kweli na ya AGANO kwa watu wakweli wenye hofu ya MUNGU haiwezi kua na michepuko Mkuu na NDOA za aina hi zipo japo sio nyingi Ndio Maana kukutana nazo ni nadra Sana na wahusika Kweli waliingia gharama kutengeneza hiyo NDOA
 
Mshauri asikubali na akikubali mtengeni kwani atakuwa kafiri huyo na ajiandae kuletewa mke wa pili.
 
Dada aambiwe kabisa kwamba kuna mke wa 2 na 3 atakuja akae mshazali
Juzi juzi nilihudhuria mazishi, ya kikristo, ndani ya mkoa jirani na Dar, kwenye kusoma risala, ilitajwa vibaya ameaacha wake wawili, ikatuaacha watu tunaondoka na tafakari.
Ikiwa marehemu alikua anafuata madhehebu ya kikristo, ilikuaje awe na wake wawili, wanaotambulika.
.Maana wakristo wengi dhambi ya kumiliki wake wawili wanayo, na wanahudumia sawa na mke anaetambulika ama zaidi ya mke wa ndoa, ila dhambi ipo kwenye kufunga ndoa tu.
 
shida ni kwamba abdul mwenyew mgonga nyundo kama sisi ila angekua afisa flan at kutumia ushauri.
By the way utu wa mtu aupo kweny dini wala kabila
Uko sahihi anaweza kuwa Muislamu ama mkristo, akawa na mambo ya hovyo ama mema.
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Ngoja aolewe then Abdul amletee mke kutokea Imani yake ndipo atakapojua hakujua kwanini wazazi walikataa kufungamanishwa nira moja na wasio amini. Binafsi huwa napenda na naamini kubadirika kwa mtu ni mpaka pale litakapomtokea puani alafu naishia kusema "NILIKWAMBIA"
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Kama inawezekana muoe wewe, mkkkt mwenzake.
 
Ni yeye Ila hatutaki hyo mijaa yakufaa kanzu Sasa mzee Ana pressure
Mbona povu sana.Badilishana nae basi uolewe wewe na hao KKKT.
Dada yako ni mlemavu wa akili mpaka mmchagulie mume?
Si umeandika amesoma mpaka Chuo Kikuu?
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Amepagawa na dudu la yuyu.
 
Akiwaambiaa Nitafutieni anaenikojoza kama Abdul mtaweza???🤣🤣🤣 dini zililetwa tu acheni ubabaifuu japo watoto wakizaliwa watashindwa kuwa na msimamo kuhusu dini gani ya kufataa..
 
Back
Top Bottom