Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Acheni ujinga. Huyo ni bint, hata ikiwaje kumbuka watoto atakaozaa wanakuwa wa mwanaume. Mnaepusha nini kesho mkisikia kazaa na huyo huyo Abdul?
Wakazee tu ila siyo kutyelezee Waislamu
 
Unanikumbusha mbali sana mkuu.

Dini ilinifanya nishindwe kuwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati sana. Tulipendana sana lakini mwisho tukaamua tu kunyoosha mikono ya kwamba M/Mungu hakupanga tuje kuwa wote kimaisha daima na milele. Mpaka sasa huwa tunawasiliana, yeye alishaolewa na mm nilishaoa pia kila mtu ana familia.

Huwa tutaonana mara kadhaa iwapo tukipata bahati ya kuwa mkoa mmoja kikazi ama kwa mambo mengine binafsi lakini sio kimapenzi. Tunasaidiana sana kwa mambo mengi ya kimaisha na kimaendeleo pia.

TULIPENDANA SANA.It was and still it will forever be...
Oa ktk kabil lako na dini yako
 
Hata wakristu wana michepuko. Atakuwa mke wa kwanza mwenye msululu wa wake wenza
Lakini yeye atabaki mke kisheria ya Dini na sheria ya nchi na jamii itamtambua, na uzao wake utalelewa na Wazazi wawili. Akiolewa na Muislam kaa ukijua atalea watoto mwenyewe na watoto watakuwa wana muona baba kwa kubahatisha, raha ya ndoa ni kuishi wazazi pamoja na watoto pamoja, siyo Baba anaishi Biguruni na Mama na watoto wanaishi Kibaha.
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Sasa mbona hiyo kawaida unachoshqngaa nini?? waislam wanauzuia mabinti zao wasiolewe na dini nyinginr na wakristu pia wanafanya hivo!!
acha hilo kuna ukabila pia watu hawaruhusu aolewe na kabila fulan
 
Hapo dada yenu kachemka, suala hili watu wanalichukulia kidini lakini Mimi naona ni zaidi ya udini. Ingekuwa anaolewa na muisilamu ambaya wamekuwa pamoja, yaani wameishi sehemu moja tokea utotoni hapo unaweza kuwa sawa. Kwani mbali na dini kuna desturi, Mila, mapokeo na mazoea ambayo watakuwa wanashare.

Lakini mkristo kuolewa na muislam ambaye wamekutana ukubwani ni mtihani kwani kila kitu kitakuwa opposite kwa kila mmoja wao
 
Mzee ana haki ya kukataa kupokea na binti ana haki ya kuondoka aende kwa jamaa yake, hamna mwenye obligation hapo
 
Sitaki kuwa mbaguzi kiimani ila hata mimi sitakubali kwa binti yangu, its two different traditions, aje mkristo wa dhehebu lolote hasa KKKT ila sio muislam. It is what it is.
 
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.

Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.

Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.

Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.

Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
HIYO SIKU YA POSA MNGERISHA KITIMOTO HUYO JAMAA ILI KUPIMA UWEZO .

WENGINE WAISLAMU JINA
 
Mleta mada mbona unaonekana ni muislam kabisa na hapa umeleta huu uzi ili kuwachallenge watu kwamba Uislam ni Dini yenye haki , anyway kupanga ni kuchagua
Hii stori ni ya kutunga tu,
Lengo la mleta mada ni kukashifu imani ya wenzake,

subiri sasa tumpige spana mpaka akili yake imrudie coz sasa hivi anatembea na kichwa kitupu tu kama kiungo cha kukamilisha umbo la mwili.
 
Huyo mdogo wenu kichwa ngumu haelewi hao makobaz atalia sana na kuletewa mke wa pili baada ya yeye kuzalishwa watoto 2 au 3 na atajutia, mwelezeni kabisa
Pole sana,inaonekana wewe mumeo alikuolea mke wa pili,bila shaka aliona mapungufu yako ila akakuonea huruma kukutwanga talaka.
 
Juzi juzi nilihudhuria mazishi, ya kikristo, ndani ya mkoa jirani na Dar, kwenye kusoma risala, ilitajwa vibaya ameaacha wake wawili, ikatuaacha watu tunaondoka na tafakari.
Ikiwa marehemu alikua anafuata madhehebu ya kikristo, ilikuaje awe na wake wawili, wanaotambulika.
.Maana wakristo wengi dhambi ya kumiliki wake wawili wanayo, na wanahudumia sawa na mke anaetambulika ama zaidi ya mke wa ndoa, ila dhambi ipo kwenye kufunga ndoa tu.
Mkuu wanaume wa bara mfano wasukuma, Wakurya, Wamasai wanaoa wake wengi na wakristo , mfano Sisi ni wakristo na Baba yangu ana wake wawili.
 
Akiolewa na muislamu atafundishwa uchawi wa majini. Kwaivo mtakua na ndugu mchawi.
Ila Kama kakubali kwenda uchawini kwa Abduli (nadhani sio yule Abdul) mwacheni akayaone mwenyewe.
 
Vijana wakikiristo bado wanajipanga wanataka kuja kuoa wakishamaliza kuzaa au angalau miaka 35 huko ndio wanabariki ndoa
 
Hata mimi ningegoma, ni Mzazi punguani tu atapokea.
Hongera kwa kua na Baba mwenye akili timamu.
 
Uyo kashapigwa majini hawez elewa, mpaka aletewe mke wa pili ndo zitamkaa pumbafu zake.
 
Back
Top Bottom