dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #101
Na majini pia atatumiwaaMshauri asikubali na akikubali mtengeni kwani atakuwa kafiri huyo na ajiandae kuletewa mke wa pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na majini pia atatumiwaaMshauri asikubali na akikubali mtengeni kwani atakuwa kafiri huyo na ajiandae kuletewa mke wa pili.
Tumesema acha liwalo na limkute tuNgoja aolewe then Abdul amletee mke kutokea Imani yake ndipo atakapojua hakujua kwanini wazazi walikataa kufungamanishwa nira moja na wasio amini. Binafsi huwa napenda na naamini kubadirika kwa mtu ni mpaka pale litakapomtokea puani alafu naishia kusema "NILIKWAMBIA"
Ssi hatuwataki na mkimuoa kwa nguvu za kishirikina tutamrudisha kishirikina piaKama inawezekana muoe wewe, mkkkt mwenzake.
Ndio kasoma ila hatuwataki hatuwataki mkaone wenyeeew hukoMbona povu sana.Badilishana nae basi uolewe wewe na hao KKKT.
Dada yako ni mlemavu wa akili mpaka mmchagulie mume?
Si umeandika amesoma mpaka Chuo Kikuu?
Bora mdg wetu awe mchepuko wa mkiristo ila siyo wa muislamuKuna wakristo kibao wana wake wawili. Kalagabaho
Ndio hapo bhnaa mzee wa kiamsiara heri aliwe na wakiristo awe mchepuko ila siyo ninyi wazeee wa makanzuAkiwaambiaa Nitafutieni anaenikojoza kama Abdul mtaweza???🤣🤣🤣 dini zililetwa tu acheni ubabaifuu japo watoto wakizaliwa watashindwa kuwa na msimamo kuhusu dini gani ya kufataa..
Hamna uwezo huo.Ssi hatuwataki na mkimuoa kwa nguvu za kishirikina tutamrudisha kishirikina pia
Yeah mtoto akililia wembe mwache umkate. Nachukia sana tabia ya ung'ang'anizi while ukijua consequences za ung'ang'anizi huoTumesema acha liwalo na limkute tu
Sahih kbsaani msomi mahiri wa maswla ya uchumi na feza na ana degree mbili Hadi HV sasa atakufaaa Sana mdg wetuBasi nipeni mimi KKKT mwenzetu, chonde chonde
Hapana no Abdul atafute mke kweny msiskiti Huko watakuja mrushia dad etu majini yaoMtoto akililia wembe mpe, anaweza katia kucha ama akajikata.
Plus, watoto wa kike hao mtakataa kataa kataa atapigwa PUMBU awaletee mimba.
Kwakuwa huyo abdul kaleta barua tena ya kuoa, muozesheni tu.
Sasa kaeni na chuki zenu za kidini, mtapokea mimba tu.Hapana no Abdul atafute mke kweny msiskiti Huko watakuja mrushia dad etu majini yao
Acheni ujinga. Huyo ni bint, hata ikiwaje kumbuka watoto atakaozaa wanakuwa wa mwanaume. Mnaepusha nini kesho mkisikia kazaa na huyo huyo Abdul?Bora mdg wetu awe mchepuko wa mkiristo ila siyo wa muislamu
Acheni ujinga, hizo imani ni tamaduni za wazungu na waarabu. Na hivyo vitabu ni vya hadithi tuu kama za shigongo. Mwache binti aolewe apewe mshedede azae watoto.Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Sawa hyo hyoSasa kaeni na chuki zenu za kidini, mtapokea mimba tu.
Hatutaki kisasi Cha kiisilamuAcheni ujinga, hizo imani ni tamaduni za wazungu na waarabu. Na hivyo vitabu ni vya hadithi tuu kama za shigongo. Mwache binti aolewe apewe mshedede azae watoto.
Wamepe kivpiNgoja wampe mimba