Ikiwa dini unayojinasibisha nayo haiongozi mfumo wako wa maisha basi jitafakari vizuri! either hiyo dini yako ni impractical au wewe si muumini wa kweli wa hiyo dini.Dini za Kigeni zisitufanye tubaguane.
Huwezi kuamini mtuhumiwa hana hatia halafu bado ukamuadhibu!