Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Sitaki kuwa mbaguzi kiimani ila hata mimi sitakubali kwa binti yangu, its two different traditions, aje mkristo wa dhehebu lolote hasa KKKT ila sio muislam. It is what it is.
Uzuri hapo hakuna mwenye obligation. Wewe unaweza kukataa , na yeye anaweza kuamua kuolewa.
 
Walikataliwa huwa wanarushiwa majini
 
Walikataliwa huwa wanarushiwa majini
 
Mzee akikataa hata kama alikuwa mwanaume mzuri mambo yatakwenda mlama mbeleni
Atulie kwanza mpaka moyo wa Baba ukubali
 
Aje hat mkkkt mweztu au mkatoli au mtag na msabato ila siyo hao jamaa Muda wowte unafanywa mke wa pili
Hayo mambo ya kizamani kama vile watu walikua wanaowana kwa makabila yao ,siku hizi hakuna ujinga.huo! Mshauri mzee wako soon atalea mjuku wake kutoka.kwa Abdul!!
 
Hili la kubadili dini Abdul awe mkristo wacha tuwasiline nae kump shart Hilo ila ss hatukubali knsa mtoto awe musilmu
 
Ndio hvyo tumemshauri amegoma na mistari hiyo tumesoma
 
Dini zimekuja kuleta utengano. Hapo ungekua unaoa kwa mpagani usingekutana na vikwazo hivyo.

Kwani hamuwezi kuoana na kila mtu abaki na imani yake?
 
Dini zimekuja kuleta utengano. Hapo ungekua unaoa kwa mpagani usingekutana na vikwazo hivyo.

Kwani hamuwezi kuoana na kila mtu abaki na imani yake?
Na wewe ni walewale tu, mtu kutokuwa mfuasi wa dini za Ibrahim haina maana kwamba ni mpagani.
 
Binafsi, si kwa muislamu tu, hata kama ni mkristu mwenzie, kwenda kuishi na mtu mnayetofautiana kiimani ya dini, ni hatari sana. Hili haliwezi onekana huku mwanzoni. Kile kinachofanya kila mtu awe na imani yake, siku kikiibuka ndo watajua joto ya jiwe. Embu fikiria, mkatoliki anayefunga ndoa na hawa wa kipentekoste, huyu mkatoliki atamueleza nini mpentekoste juu ya Bikira maria na akamuelewa? Kwenye IDI tu hawa wa suni na wengine mnaonaga kila mtu antangaza idi yake..!! Fikiria msuni aliyeolewa na muislamu asiye msuni, siku ya idi ya mmoja, huyu anayeendelea kufunga atafungua?
 
Let me tell you brother,vijana wa kikistro kwa Sasa waoaji wachache sana tena mno at the end of a day wadada wanajaa makanisani kwenda omba wapate wanaume,muislam dini inamruhusu kuoa na kumpa Mke talaka lkn wakistro hapawo tyr kuolewa na waisalam.

NB
Kuna aya kwenye uisalam(Quran) inasema msiwaoe makafiri except km unajukinga wasikudhuru ila ni sharti kuoa walio kwenye Islam kwanza.
So it’s family choice je aolewe kwakua muoaji yupo au aendelee kuzini and kuzaa bila stable family
 
Kwa kweli Ni blaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…