Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Maamuzi sahihi ya kumwoa au kumwacha yanapaswa kutoka katika serikali ya kichwa chako pekee.

Huyo ni mke wako na familia itakua ni yako pia, hivyo si jambo jema kuamuliwa na mama au ndg yeyote.

Tambua unaweza ukaambiwa huyo hakufai tatizo likawa kwenye changamoto ya uvumilivu na ni ndogo kabisa.

Mara nyingi wale wanaojioshaga kwa mama ambaye anataka kumchagulia mchumba mwanae huwa ni wasafi na waadilifu usoni tu ila ukimwoa ndio anawasha full.
 
Jitahidi kutoka katika Ujinga huo! Wazazi wasikuchagulie wa kuoa!
Fikiria umemzalisha bint wa watu,je kama mzazi wako hafurahishwi naye vipi wazazi wa huyo bint kama utamtelekeza kwa kusikiliza ushauri wa wazazi wako watajisikiaje?
Utaalaniwa mpaka unaingia kaburini!!
 
Wapi nimesema nataka kumuacha?
Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......
 
Nasubiri nijue tatizo ni nini ndyo nifanye maamuzi
 
Jitahidi kutoka katika Ujinga huo! Wazazi wasikuchagulie wa kuoa!
Fikiria umemzalisha bint wa watu,je kama mzazi wako hafurahishwi naye vipi wazazi wa huyo bint kama utamtelekeza kwa kusikiliza ushauri wa wazazi wako watajisikiaje?
Utaalaniwa mpaka unaingia kaburini!!
Bado mzazi wangu hajaniambia sababu za yeye kutokuwa na imani na huyo binti, akiniambia ntajua tatzo ni nini na nitafanya maamuzi
 
Ukisikiliza ushauri wa kumwacha huyo bint uliyemzalisha hutafanikiwa katika maisha yako kwa huyo utakayeshauriwa kumuoa!
Mkuu, mbona umefika mbali sana, mimi nimesema nataka nipewe sababu kwanza na mzazi wangu, hapo ndyo ntajua tatzo ni nini hasa
 
Muoe kama ana adabu nzuri,mama yako ni mwanamke vile vile
Adabu na heshima anayo, lakini nataka Mama aniambie ni kitu gani kingine amekiona hakipo sawa, kama kitakuwa na uzito nitafanya maamuzi, kama sio kizito nitafanya maamuzi pia.
 
Habarini ndugu

Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.

Walikaa kwa kipindi cha miezi kadhaa, na walikaa kwa furaha na amani. Mama yangu alifurahi kwani mwanzo aliona na kusifia tabia nzuri na kujituma kwa binti yule.

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga, nikahisi kuna jambo halipo sawa, kila nikiongea na Mama kuhusu mipango ya baadae alikuwa haonyeshi dalili za kubashiri ndoa yangu na binti yule. Nikajua tu hajaridhika nae.

Lakini naamini Mzazi wangu ananijua vizuri na anajua ni kipi kitanifaa na kuendana na mimi, nahisi kuna vitu amegundua kwa binti yule kwa muda aliokaa nae.

Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......

Ni uamuzi gani wa busara napaswa kufanya wadau? Naombeni ushauri wenu bila kebehi na masihara..

Asanteni.....
"Beatifulness of a woman is in the eyes of beholder" bas tuachane na huo usemi,ulipompenda ulimuuliza mama? Atakuwa mkeo au mke wa mama yako na wewe?

Dogo umezengua sana. Ukioa mwanamke anayemtaka mama yako halaf akakushinda tabia utamlaumu mama???
Assessment ya mke, ipo kwenye uwezo wa muoaji
 
Dogo umezengua sana. Ukioa mwanamke anayemtaka halaf akakushinda tabia utamlaumu mama.
Assessment ya mke, ipo kwenye uwezo wa muoaji
Nimezingua nini brother, mbona bado tupo nae pamoja na tuna mipango naye.

Lakini nataka niambiwe na Mzazi wangu ni sababu ipi inamfanya asiwe na imani nae
 
Nimezingua nini brother, mbona bado tupo nae pamoja na tuna mipango naye.

Lakini nataka niambiwe na Mzazi wangu ni sababu ipi inamfanya asiwe na imani nae
Usimuulize mama sababu kwa mini hamtaki, mwambie mipango yako na mkeo tu, then yeye avalidate kwamba sio mke bora. Usifanye kosa la kujadili ubora wa mke na mzazi, pata mke unayemtaka wewe. Yawezekana mama alikwazwa kitu kidogo tu wala hakina mashiko, mama akamchukia me
mkeo.

Ukiwa na mke, jitahidi kumprotect sana mbele ya mawifi na mama mkwe. Mara nyingi hao ndio virus wa ndoa zetu. Otherwise,uwe unafaham ABC za makosa "real" ya mkeo, vinginevyo atasingiziwa mammbo mengi tu

Nina uzoefu na ndoa for 27 years, be learned please
 
Usimuulize sababu, mwambie mippango yako na mkeo,then yeye avalodaate kwamba sio mke bora. Usifanye kosa la kujadi ubora wa mke na mzazi, pata mke unayemtaka wewe. Yawezekana aliikwazwa kitu kidogo tu wala hakina mashiko, mama akamchuukia mekeo.

Ukiwa na mke, jitahidi kumprotect sana mbele ya mawifi nna mama mkwe. Mara nyingi hao ndio virus wa ndoa zetu. Otherwise,uwe unafaham ABC za makosa "real" ya mkeo, binginevyo atasingiziwa mammbo mengi tu

Nina uzoefu na ndoa for 27 years, be learned please
Nimeuelewa Ujumbe wako brother

Lakini mwanzo tulikuwa tukiongea kuhusu mipango ya badae hakuwa na tatzo au kusema tofauti, lakini baada ya kukaa na yule binti ndyo nikaona mabadiliko.

Umenishauri vizuri kwamba nisimuulize, ila nimwambie mipango yangu then aseme anaonaje, nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom