Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Huu ni mtandao huru na kila mtu ana uwezo wa kuleta mada yoyote pasipo kukiuka sheria za jukwaa.
Yaani umekuja na mada ambayo majibu yake unayo kichwani karibu comments zote walizo kushauri members unapingana nazo We chukua maamuzi ya Bi mkubwa wako.
 
Yaani umekuja na mada ambayo majibu yake unayo kichwani karibu comments zote walizo kushauri members unapingana nazo We chukua maamuzi ya Bi mkubwa wako.
Sio kuchukua maamuzi ya bimkubwa, ni kumsikiliza na kujua ana mtazamo gani then ndy mimi nifanye maamuzi
 
Hujui ulisemalo ndugu, mimi siku zote nipo tayari kuwa nae
Hauko tayari kuwa nae hapo unaishi nae kwa kumuonea huruma kwa kuwa mna mtoto laiti kama angekuwa hana mtoto kwa akili zako za kushikiwa ungekuwa umeshamtimua huyo binti.
 
Hauko tayari kuwa nae hapo unaishi nae kwa kumuonea huruma kwa kuwa mna mtoto laiti kama angekuwa hana mtoto kwa akili zako za kushikiwa ungekuwa umeshamtimua huyo binti.
Mimi siyo niliyetaka aje, Bibi alitaka kuwaona yeye na mjukuu
 
Sio kuchukua maamuzi ya bimkubwa, ni kumsikiliza na kujua ana mtazamo gani then ndy mimi nifanye maamuzi
Umepata mtoto ila akili ya kuwa kama Mwanaume au baba wa familia huna kwa sasa(Samahani)
 
Qur'an 39:41. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa ajili ya watu wote kwa Haki. Basi mwenye kuongoka ni kwa nafsi yake, na mwenye kupotoka bila ya shaka amepotoka kwa khasara yake. Na wewe si mlinzi juu yao. 41
Ndo maana nasema hio ni kwako, maana sio kila mtu anaamini hiko kitabu
 
Mambo ya msingi hayo na nitayazingatia mkuu

Ndoa ni ishu ya Watu wawili mkishakubaliana siô Watu WA nje ikiwemo Mama na Baba yako.

Kama unategemea ushauri popote kuhusu Ndoa Jua bado haupo tayari.

Mwenye kujua Nani anafaa kwèñye Maisha yako ni wewe mwenyewe.
 
Maoni ya Mama yangu ni muhimu, nimeona hana imani naye na nataka nimuulize sababu ni nini

Ndîo maana unaambiwa bado hujafikia Musa WA Kuoa.
Maonî ya Mtu Mwingine hayawezi kuwa muhimu kwèñye Ndoa yako.

Wewe kama hujaona tatizo Kwa Mchumba wako why unatafuta matatizo ya Mkeo Kwa Mtu Mwingine?
 
Ndîo maana unaambiwa bado hujafikia Musa WA Kuoa.
Maonî ya Mtu Mwingine hayawezi kuwa muhimu kwèñye Ndoa yako.

Wewe kama hujaona tatizo Kwa Mchumba wako why unatafuta matatizo ya Mkeo Kwa Mtu Mwingine?
Kweli sijafika muda wa kuoa, hata yeye analijua hilo.

Sitafuti matatzo, ila nimeona kuna tatizo na lazima nijue ni tatizo gani
 
Back
Top Bottom