Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Mama yangu ni Nguzo yangu, Angekuweopo baba huenda ningekuwa na mshauri mzuri zaidi lakini nimebaki na Mama na siwezi kumpinga
Here๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mama yako nguzo yako
 
Kwani ulipokuwa una tafuta mtoto kwa nini uku mashirikisha Mama yako kwa nini sasa.
 
Kwanza Mama yako hana maadili na maanisha hofu ya Mungu kwa mzazi anaye jielewa asingeweza kubali kuishi na binti wa watu pasipo ndoa.
 
Sawa ni umbea, lakini kwangu ni Umbea wenye manufaa ambao unatoka Kwa Mama yangu (Nguzo yangu)

Huyo Mwanamke mwambie mapema Hiki ili akuepuke mapema Kabla hujampa Hasara katika Maisha yake.

Yeye anaamini ana Mwanaume anayemuamini kumbe Mwanaume mwenyewe hajiamini mpaka amsikilize Mwanamke Mwingine (Mamaako)

Mwanaume lazima ujifunze kujitegemea. Mamaako mwenyewe akisikia hivyo atajisikia vibaya kweli ila Kwa vile Wanawake NI wanafiki hatakuambia
 
Heeee.... Yamekuwa hayo....

Haya tupe nasaha Ustadhat
Kama unataka maneno ya hekima kutoka kwa huyo bi mkubwa wako hatokupa zaidi atakwambia muache huyu binti ili uendelee kuwa mzinifu vizuri na kuleta watoto kwake
 
Ni kweli sio kila kitu lazima mzazi ashauri, lakini jambo kama hili ni muhimu kumpa nafasi ya kushauri, pia Mama yangu ni mtu wa hekima sana, namuamini katika maamuzi yake
Sasa umekuja hapa kutafuta nini?
 
Labda wengine ila Mama yangu sio mnafiki, kama kuna kitu ataniambia hatanificha

Angekuwa siรด mnafiki angekuwa ameshakuambia na hii Mada Wala usingeileta huku. Mpaka unatafuta namna ya kumuuliza ili akuambie huoni kama wewe ndรฎo unashida? Kama wewe Huna shida Basi mama yetu ndรฎo anashida Kwa nini asikuambie mpaka umuulize kama kweli kรปna Jambo linalohatarisha usalama wako?

Je hakuamini?
 
Back
Top Bottom