Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Here๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐mama yako nguzo yakoMama yangu ni Nguzo yangu, Angekuweopo baba huenda ningekuwa na mshauri mzuri zaidi lakini nimebaki na Mama na siwezi kumpinga
Ata utakapokuja kuoa ndoa yako itakua Na shida SanaSawa, ila mimi sina tatizo na mzazi mwenzangu, tunaelewana vizuri na naamini tutakuwa pamoja ila tu lazima nimuulize bimkubwa maoni yake
๐๐๐๐๐๐๐Mama boy๐๐๐๐๐๐๐๐Sio maoni ya watu bali maoni ya Mama yangu.
Sawa ni umbea, lakini kwangu ni Umbea wenye manufaa ambao unatoka Kwa Mama yangu (Nguzo yangu)Huo unaitwa Umbeya au kupenda kusikia maneno ya kuambiwa.
Kweli mama Ni Nguzo yanguHere๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐mama yako nguzo yako
Duh, kwahiyo umeamua unitabirie mabaya kabisaAta utakapokuja kuoa ndoa yako itakua Na shida Sana
Sijaona bifu, tunaishi kwa amani kabisaWatoto wa kiume ambao Ni Wa Kwanza Kwao Na ukute yeye ndo anamuelekeo mama zao wanakuwaga Na bifu Na wake zao
Heeee.... Yamekuwa hayo....Kwanza Mama yako hana maadili na maanisha hofu ya Mungu kwa mzazi anaye jielewa asingeweza kubali kuishi na binti wa watu pasipo ndoa.
Nimshirikishe kwa lipi, au nimuombe ruhusa?Kwani ulipokuwa una tafuta mtoto kwa nini uku mashirikisha Mama yako kwa nini sasa.
Sawa ni umbea, lakini kwangu ni Umbea wenye manufaa ambao unatoka Kwa Mama yangu (Nguzo yangu)
Kama unataka maneno ya hekima kutoka kwa huyo bi mkubwa wako hatokupa zaidi atakwambia muache huyu binti ili uendelee kuwa mzinifu vizuri na kuleta watoto kwakeHeeee.... Yamekuwa hayo....
Haya tupe nasaha Ustadhat
Sasa umekuja hapa kutafuta nini?Ni kweli sio kila kitu lazima mzazi ashauri, lakini jambo kama hili ni muhimu kumpa nafasi ya kushauri, pia Mama yangu ni mtu wa hekima sana, namuamini katika maamuzi yake
Don't take it too personal madam, Mama yangu hawezi kuwa na mawazo ya aina hiyo.atakwambia muache huyu binti ili uendelee kuwa mzinifu vizuri na kuleta watoto kwake
Labda wengine ila Mama yangu sio mnafiki, kama kuna kitu ataniambia hatanifichaMwanaume lazima ujifunze kujitegemea. Mamaako mwenyewe akisikia hivyo atajisikia vibaya kweli ila Kwa vile Wanawake NI wanafiki hatakuambia
Sijaja ila kila siku nipo, ila nimeona nilete hii mada ili nione mawazo ya wengine na kujifunza kitu.Sasa umekuja hapa kutafuta nini?
Sababu ya nini?Sijapiga U turn, Ila nataka nijue sababu kwanza
Labda wengine ila Mama yangu sio mnafiki, kama kuna kitu ataniambia hatanificha