Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Wewe huna akili, umemzalisha mtoto wa watu alafu ndo unataka kumsikiliza mama???
 
Wewe huna akili, umemzalisha mtoto wa watu alafu ndo unataka kumsikiliza mama???
Sijamzalisha mimi, alizaa hospitalini na mimi ni mzazi mwenzake..

Lazima nisikilize maoni ya mzazi wangu, kwani ndyo huyo mmoja niliyenaye na sina mwingine
 
Kilichofanya nizae nae siwezi kusema ni kitu gani, ila tulikutana na baada ya hapo nikapewa taarifa za ujauzito, nikazipokea na mambo mengine kuendelea
Kwajibu lako inaonesha mlikuwa mnanyanduana bila mpangilio au malengo.Mfano mzuri binafsi siwezi nikaamua kuzaa na mwanamke ambaye naona sina future nae so kabla sijafanya sex nae ninamueleza wazi sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwahiyo anajua kabisa.Mpaka ninaamua kuzaa na mwanamke ninakuwa nimeamua kabisa huyu ndio atakuwa wife wangu labda mambo mengine yajitokeze but ninakuwa nimejiridhisha kuwa ana nifaa.
 
Sawa lakini tayari tumepata mtoto na siku hazirudi nyuma, siwezi kujilaumu au kujutia kwanini nilizaa naye.
 
Sawa lakini tayari tumepata mtoto na siku hazirudi nyuma, siwezi kujilaumu au kujutia kwanini nilizaa naye.
Wewe unavyomuona anakufaa kama ujiridhisha kwenye hilo basi ushauri ataokupa Mama yako usifanye ubadilishe mtazamo kwa mwenzi wako
 
Wewe unavyomuona anakufaa kama ujiridhisha kwenye hilo basi ushauri ataokupa Mama yako usifanye ubadilishe mtazamo kwa mwenzi wako
Inategemea na ni kitu gani Mzazi wangu amekiona kwa huyo binti, ndymaana nasema siwezi kufanya judgment bila kusikiliza maelezo ya Mama yangu.

Nataka nijue kwanini hana imani tena tofauti na mwanzo
 
Sijamzalisha mimi, alizaa hospitalini na mimi ni mzazi mwenzake..

Lazima nisikilize maoni ya mzazi wangu, kwani ndyo huyo mmoja niliyenaye na sina mwingine
Hapa hakuna mwanaume huyo bi-dada ameingia hasara kubwa sana kwenye maisha yake kumbebea mimba mvulana
 
Acha ujinga bhana mama yako ametumia kipimo gani cha kujua madhaifu ya mzazi mwenzio?? Usipende kusikiliza maamuzi ya mzazi wako hali ya kuwa hajui mazingira au makubaliano ya wewe na mzazi mwenzio, fanya kitu ambacho nafsi yako inaridhia mambo ya kuendeshwa mahusiano na wazazi ni ushamba wa kiwango cha juu sana.
 
Sio kuendeshwa au kupangiwa na mzazi, mimi nina mipango na maamuzi yangu, ila nimeona tofauti kwa kipindi hichi na nataka nijue sababu ni nini
 
Watakaoweza kukushauri ni wale wanaoishi nyumbani kwao yaani kwa wazazi.

Lakini kama unamaisha Yako na unapambana basi akili mkichwa.

Kabla ya kuanzisha mahusiano ulimhusisha mama yako.Na kama sio iweje uanze kumbwelambwela humu🤔.Kama ni mtoto WA mama,fata ushauri WA mama yako.
 
Bado sijapewa ushauri, nimeona kuna upungufu wa imani na nataka nikae nae aniambie sababu ni nini
Maisha ni ya kwako,na sio ya mzazi mkuu.
Kama umemwelewa huyo mwanamke basi ndo type yako.

Kwa Sababu,naimani hata mzazi akiweza kukuonyesha Binti ili umwoe,hutaweza.
Sanasana utaishia kuishi na sonona na hutadumu nae.
Kuhusu tabia,basi jua na huyo mwenzio anavumilia baadhi ya tabia zako ila hawezi kusema.
Maana hakuna aliyekamirika
 
Nimekuelewa vyema mkuu, lakini sidhani kama ni busara kupuuzia ushauri wa wazazi, japo bado sijajua sababu ni nini lakini nitamuuliza na kisha nitafanya maamuzi.
 
Baba yako anasemaje kuhusu mzazi mwenzako au nawe hukai na baba?
Kama wazazi wako wako kwenye ndoa, deep unafahamu kuwa mama yako haelewani saaana aidha na bibi yako mzaa baba au hata na wifi zake ambao ni shangazi zako kama ndugu zake. So sio sababu tosha ya wewe kimwacha mwenzio kwa sababu ya maneno ya mama yako tu.
Ila unachokifanya kwa huyo binti wa watu uwe na uhakika kitakurudia. Lazima mwanao naye atafanyiwa yani atazalishwa tena na mtu ambaye haeleweki ili ujue kina cha kitu ulichomfanyia mama mtoto wako...what goes around
 
Baba yako anasemaje kuhusu mzazk mwenzako au hukai na baba?
Kama wazazi wako wako kwenye ndoa, deep unafahamu kiwa mama yako haelewani saaana aidha na bibi yako mzaa baba au hata na wifi zake ambao ni shangazi zako kama ndugu zake. So sio sababu tosha ya wewe kimwacha mwenzio kwa sababu ya maneno ya mama yako tu.
Ila unachokifanya kwa huyo binti wa watu uwe na uhakika kitakurudia. Lazima mwanao naye atafanyiwa tena na mtu ambaye haeleweki ili ujue kina cha kitu ulichomfanyia mama mtoto wako
Mbona umenihukumu kabla sijafanya kosa lolote, mimi bado nipo na malengo ya kuwa na huyu binti.

Lakini nimeona tofauti kwa mzazi wangu tofauti na mwanzo, nitamuuliza ameona nini kwa huyo binti au sababu ni nini hana imani naye tena then ndy ntajua ni maamuzi gani nichukue.

Kuhusu Baba, hayupo na alikwisha aga duni, nimebaki na Bimkubwa tu
 
Mara nyingi nimekuwa nikisikiliza maamuzi ya Mama Hadi katika personal issues lakini mambo yakija kwenda ndivyo sivyo mama anajitoa utadhani siyo yeye aliyekuwa ananishauri.Hii kitu ilinifunza kujitegemea mwenyewe katika maamuzi yangu nayoyaona yanafaa.Kuliko kuishia Kuambiwa Pole na Mama na kujitetea sikujua.
Pole,Imani yetu Kwa mama zetu ni kubwa sana na Kwa heshima tuliyowapa Huwa tuna Imani kuwa wapo sahihi Kwa Kila watuambiacho bila kukumbuka kuwa nao ni binadamu pia,wana mapungufu Yao.
 
Habarini ndugu

Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.

Walikaa kwa kipindi cha miezi kadhaa, na walikaa kwa furaha na amani. Mama yangu alifurahi kwani mwanzo aliona na kusifia tabia nzuri na kujituma kwa binti yule.

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga, nikahisi kuna jambo halipo sawa, kila nikiongea na Mama kuhusu mipango ya baadae alikuwa haonyeshi dalili za kubashiri ndoa yangu na binti yule. Nikajua tu hajaridhika nae.

Lakini naamini Mzazi wangu ananijua vizuri na anajua ni kipi kitanifaa na kuendana na mimi, nahisi kuna vitu amegundua kwa binti yule kwa muda aliokaa nae.

Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......

Ni uamuzi gani wa busara napaswa kufanya wadau? Naombeni ushauri wenu bila kebehi na masihara..

Asanteni.....
Huyu Binti ataishi na wazazi wako au ataishi na wewe,jibu ni ataishi na wewe!pili:unezaa na Binti anaenda kukaa na mama Yako,are you serious?
 
Back
Top Bottom